Helicopter ni ndege inayotumia mbawa zinayozunguka juu (panga) kutengeneza 'lift' ili iweze kunyanyuka kupaa.
Kumbuka ndege ya kawaida inategemea kusukumwa na injini kwenda mbele ili mbawa zake...
Kampuni hiyo inayomilikiwa na Bilionea Elon Musk imepata kibali cha Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Marekani (FDA) kufanya jaribio la kwanza kwa Binadamu baada ya kufanya upandikizaji huo kwa...
WhatsApp na Telegram sio majina mageni katika ulimwengu wa teknolojia japo WhatsApp alianza kuiona dunia ila [emoji3] dogo telegram naye ayuko nyuma.
WhatsApp na Telegram ni moja kati ya app bora...
Habari za muda huu wakuu?
Kwa watumiaji wa Home internet (Wi-Fi). Hivi malipo hufanyika kwa mwenendo upi?
a) Nilifikiria huenda wana count idadi ya data unazotumia, hivyo unazilipa mwisho wa...
Nashauri laptops za wanafunzi ziwe LENOVO THINKPAD, nje ya hapo mwanafunzi awe ana uwezo wa kifedha, vitu kama matengenezo ama kununua laptops mpya visiwe stress kwake, wale watoto wa kishua...
Kuna blogger mmoja muhindi ni best yangu sana. Ubest wetu ulianzia kule freelancer.com tukawa tunachat mara kwa mara mpaka tumekuwa mabest akaja Tanzania kutembelea Arusha na Kilimanjaro.
Jamaa...
Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (EU) inayosimamia Ulinzi wa Taarifa Binafsi kutoka Nchini Ireland (DPC) imechukua uamuzi huo baada ya META kukiuka agizo la kutohamisha #Data za watumiaji wa #Facebook...
𝗨𝗻𝗮𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗦𝗮𝗺𝘀𝘂𝗻𝗴
Kama unatumia Samsung Kuna ujumbe wako muhimu sana kwa usalama wa data Zako ? Leo nakufunza jambo muhimu la kufanya ili kuwa salama.
Inawezekana umepeleka simu kwa fundi alafu...
FIRST MISSION - Hold Onto Your Web-Shooters
Hii mission ya kwanza inaonyesha spider mpya ambaye ni miles molares akifanya mission yake ya kwanza akishirikiana na spider mwengine ambaye ni PETE...
𝗩𝗶𝘁𝘂 𝘃𝗶𝘁𝗮𝗻𝗼 𝘂𝗻𝗮𝘄𝗲𝘇𝗮 𝗸𝘂𝗳𝘂𝗻𝗴𝘄𝗮 𝗷𝗲𝗹𝗮 𝗗𝘂𝗯𝗮𝗶
Umeshawahi kutembea Dubai ? Dubai ni moja wapo ya jiji la kibiashahara ulimwenguni yenye ushawishi mkubwa sana kwa watu kuja toka Mataifa tofauti tofauti...
ETHICAL HACKER. ni mjuzi wa masuala ya I.T anae jua jinsi ya kutafuta udhaifu na matobo katika system ambayo ameidhamiria. Yeye anatumia njia na tools zile zile kama anazo tumia Black Hackers...
Kampuni ya kuunda Vifaa vya Kielektroniki ya Dell itawaachisha kazi Wafanyakazi 6,650 sawa na 5% ya Wafanyikazi wote kutokana na mauzo ya Kompyuta kupungua kwa 28% kila mwaka.
Dell imeripoti...
Habari za leo wakuu,
Kwenye mapambano yangu ya
hapa na pale nimehitajika kutumia
mashine yangu ya kutolea risiti
ambayo bila kutarajia imetoa risiti
kwa tarehe ya nyuma ya mauzo
Bidhaa...
Achana na hii vita ya magobole inayoendelea (Russia vs Ukraine), huko Marekani kuna wakubwa wawili wanaonyeshana umwamba.
Baada ya ChatGPT kutoka toleo la 4, basi akazani tayari amemshinda Bwana...
Naombeni msaada namna ya kujua mtu anayetumia hii namba +255 22 222 1500 maana imekuwa ikinipigia nikiapokea anakata sasa ni miezi miwili.
Hadi nimeingia na wasiwasi huyu ni nani na kwanini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.