Habarini wakuu,
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza. PC yangu aina ya Hp intel i5 vpro ina shida hasa pindi unapoiwasha inaandika activated window setting sijui inashida gani.
Msaada...
Mission za mwisho kwenye gta v zinatokana na maamuzi yako utakayoamua kufanya kwa watu utaoamua kuwaua.
Ukichagua kumuua Trevor Philips, mission inaitwa something sensible
Ukichagua kumuua...
Mamlaka za Uhispania wiki hii zilitangaza kukamatwa kwa watu 40 kwa kujihusisha kwao katika genge la uhalifu lililofanya ulaghai wa benki, kughushi nyaraka, wizi wa utambulisho na utakatishaji...
Taarifa iliyotolewa Wiki hii kutoka kwa Mmiliki wa Twitter, Bilionea #ElonMusk, mtandao huo utaanza kuzifuta akaunti zote za watumiaji ambao hawajaingia kwa zaidi ya siku 30.
Awali, Sera ya...
Wakuu kuna kamchezo naona kakifanywa na baadhi ya watu kuunga kifurush cha vodacom cha ofa ya watumia vodaphone.
Kwa kawaida huwa walionunua voda phone kuungiwa kifurush hcho kwa kutumia IMEI ya...
Dkt. Geoffrey Hinton
Dkt. Geoffrey Hinton moja kati ya waanzilishi wa mfumo ambao umefanikisha kuunda Akili Bandia kuanzia mwaka 2012 akishirikiana na wanafunzi wake wa chuo cha Toronto ni...
Habari yenu wana jamii, naomba kupewa ushauri, nina bajeti ya 500k je ni TV gani nzuri ya brand ipi na ukubwa upi itanifaa kwa bajeti hii? Kwani siku hizi brand zimekuwa nyingi sana
Elon Musk amemteua Afisa Mtendaji Mkuu mpya wa Twitter, ikiwa ni zaidi ya miezi sita baada ya kuinunua kampuni hiyo ya mitandao ya kijamii.
Bilionea huyo amesema Linda Yaccarino, mkuu wa zamani...
Wakubwa Habari zenu!
Samahani sana naomba kufahamishwa kama kuna namna yeyote ya kuweza kuaccess vitabu online maana napata sana shida vitabu vingi vinafunguka but wamevizuia kudownload...
=========
Google will mark its AI-generated images, show labels in Search
AI-generated pictures be used for nefarious purposes, and Google is combating that with markings, labels, and “About this...
Habari ya uzima. Kuna vitu nilikuwa na screenshot kwenye simu kisha naa upload kwenye Google photo. Ila sasa baada ya kuflash simu sizioni kwenye Google photo. Je nawezaje kuzipata?
Nikitaka...
Habari ya wakati huu wana JF, nimekutana na matangazo ya hawa jamaa wanaouza simu used from Dubai wakiuza simu ya google pixel 5 kwa bei nafuu ila wanasema ina RAM ya GB 6 na kwa ninavyo fahamu...
Wakuu habari, nikiwa kama junior na beginner kabisa kwenye industry ya tech naomba kuelimishwa kwa lugha nyepesi kidogo Maana kamili ya API kama tunavyotumia kwenye programming!!!
Asalaam! Kwenu...
Tokea jana usiku naona alama ya Volte, wamezindua nini?.
Volte(voice over lte) ni huduma inayokuwezesha kupiga simu kupitia 4G network. Moja ya faida zake ni sound quality nzuri sana.
Kuvuja kwa data na mashambulizi ya mtandao yanazidi kuwa jambo la kawaida ulimwenguni. Ili kulinda kitambulisho chako mtandaoni na taarifa zako kibinafsi, ni muhimu kutengeneza nywila yako bora...
Tairi au gurudumu ya ndege imeundwa kustahimili mizigo mizito kwa muda mfupi.
Idadi ya matairi yanayohitajika kwa ndege huongezeka kulingana na uzito wa ndege, kwani uzito wa ndege unahitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.