Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kwanini developers wengi Tanzania wanapenda kutumia PHP? Habari wana JF! Ukiangalia websites nyingi hasa za hapa kwetu utaona zimetengezwa kwa kutumia php kwenye server side! Je kwanini...
6 Reactions
122 Replies
11K Views
Naomba kujua hili suala, mimi ni mpenzi sana wa movies na nina plan ya kufungua movie studio hivi karibuni. Sasa nataka kujua mfano ukitaka kudownload huwa wanajiunga bando gani ili pesa ya bando...
7 Reactions
83 Replies
14K Views
Naomba msaada hv kwenye king,amuzi Cha Azam chenel za movie za kihindi zile zuri za. Mastar marufu Yan kiufupi movie za bollywood ninamba ngap au jina la chanel
1 Reactions
2 Replies
426 Views
Xiaomi 13 Ultra inatarajiwa kutoka kesho, hizo specifications ni 100% correct. Hizi ndio specifications sahihi za Xiaomi 13 Ultra According to real specifications, nimeona weaknesses ifuatayo 1...
3 Reactions
42 Replies
5K Views
Habari za muda huu wanateknolojia Nikiwa kama mdau wa kusoma vitabu mbalimbali, ni kwa muda sas nimetafuta app inayoweza kuconvert texts to voice note ( hasa kwa pdf books) ili kurahish usomaji...
1 Reactions
29 Replies
1K Views
Ndugu habari zenu. Kwa wale mnaofahamu bei za PC Zanzibar naombeni mnipe bei za Macbook air 2022 na Hp spectrum. Naombeni bei kwa brand new na refurb, maana huku bongo mizinguo sana.
1 Reactions
0 Replies
324 Views
Habari ya wakati huu wana JF, kwenu wabobezi wa tehama, kuna uwezekano wa kuifanya hard disk ya 4TB ikawa external. Na nini vya kuzingatia wakati wa kufanya mchakato huo wa mabadiliko...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimenunua friji sijui matumizi yavi namba vyake viko 1 adi 7 Sasa cjajua 1 ndio inakua na Kasi au 7
0 Reactions
2 Replies
461 Views
Msaada nataka kuflash Tecno F1 kwenye sp flash tools inaleta huo ujumbe kwenye picha[emoji116]
1 Reactions
100 Replies
14K Views
TEMPLATE YA MATOKEO KWA SHULE ZA MSINGI! Kwa walimu wa shule za MSINGI wanaohitaji kiolezo(template) ya kuchakata matokeo ya wanafunzi baada ya mitihani au majaribio,au wanaohitaji kiolezo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu naomba kuuliza kuhusu kuagiza mzigo kwa kutumia online shop ya KIKUU. Je kuna janjajanja yoyote au niagize mzigo.....?
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Mtandao wa Starlink umeanza kupiga kazi Rwanda tena porini huko vijijini. Mimi kijijini kwetu mtandao ni shida, sasa Starlink ije niipeleke bush niwe naenda kwa uhuru.
8 Reactions
60 Replies
3K Views
Habari za muda wakuu poleni pia hongereni kwa harakati za kulijenga taifa. Okay bila kupoteza muda niende. Kwenye mada husika Je ni wangapi, wamewahi pigwa vifaa vya tech ikiwemo simu, Laptops...
23 Reactions
118 Replies
11K Views
Jamani kwa anayejua ni kifaa gani kina uwezo wa kupima uwezo wa Betri za simu anifahamishe tafadharini waungwana.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wana JF. Nauza Lenovo Curved Gaming Monitor G27c-10 yangu inchi 27 bei 650k. Imetumika miezi 6 Specifications hizi hapa chini. Display size: 27 inches Display type: Curved LED-backlit...
1 Reactions
2 Replies
479 Views
Wadau kwema, mimi hii kitu huwa nashindwa kuieleza kabisa na pia huwa sielew inakuwaje. Nina jamaa zangu wawili bahat mbaya sipo karibu nao wao walikuwa wanaishi kwa hii mingo, yaan wanapost ads...
0 Reactions
0 Replies
480 Views
Jamani wataalamu wa ICT Nina shida ya kurudisha akaunt yangu ya fb maana imedukuliwa
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Leo nimeona nilete list ya simu kumi bora kwa sasa. Simu nyingine zimetoka mwaka Jana na nyingine zimetoka mwaka huu na kwenye hii list zote hizi ni flagship. Sitaelezea sana nitaweka tu jina la...
11 Reactions
59 Replies
11K Views
Majuzi Alhamis wakati napita pita huko Quora,nilikutana na post iliyokuwa imeandikwa (katika mtindo wa swali) kwa maneno yenye weusi mkolezo, kilichonivutia na kuukonga moyo wangu, ni utamu wa...
7 Reactions
10 Replies
810 Views
asalaam moja kwa moja niendw kwenye mada, nina remote ya kuingizia umeme sasa inasumbua kuingiza umeme yaani tangu asubuh nahangaika na kila nikiingiza naona ina search tu bila mafanikio na...
1 Reactions
23 Replies
11K Views
Back
Top Bottom