Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nimepata tatizo kwenye handset yangu naomba wanaoweza wanisaidie kwenye tuta. Ni hivi simu yangu (iphone 4) imezimika kwenye screen lakini ukiita inaita (kwa anaye piga) ingawa kwangu haioneshi...
0 Reactions
0 Replies
907 Views
pplez naomba mnisaidie jinsi ya kupata keys za kuinstall game la call of duty ghost..linansumbua sana pindi ninapounzip mafile yake.
0 Reactions
2 Replies
840 Views
e in tz can I get Sony smartphone cameras?
0 Reactions
0 Replies
452 Views
Wakuu mi natumia Nokia lumia 610 sasa Kuna vitabu nimevi download kwny cm ila nimekuwa nikioata shida kuvisoma kutokana na kutoa maandishi madogo sna na hrs nikiyakuza bado inakuwa shida kusoma...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu naombeni msaada kati ya htc na huawei ni kampuni gan wanatengeneza simu bomba maana nataka ninyakue mmoja wapo ninakahela kidogo sasa nataka niwe na smartphone ahsanten sana
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Wadau Aljazeera sports imenigomea ambaye anajua ni kwanini anijulishe tafadhali imeandika maandishi ya kiarabu.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
habari wanajamvi naomba msaada wa namna ya kufanya sharing kwa computer nyingine iwe kwa wireless or wired nimejaribu bila mafanikio..
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Hallo, Nataka kununua Smartphone brand ya Samsung. Je ni ipi kati ya hizi hapa ungenishauri kwa ubora kati ya Galaxy Note 2 Vs Galaxy S4? Ila brand ambayo nnayoizimia ni "GALAXY NOTE 3" lakini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
any one who can help me where or how to get google map for mentioned phone type
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Msaada wakuu kila nikitumia wifi ya sim kuconnect na laptop yangu inafunguka frsh ila baada ya muda laptop inazima yenyewe inaletea maandishi mengi sana nispotoa betri haiwaki.ila nikitoa betri...
0 Reactions
0 Replies
503 Views
NImenunua kacm kangu kama week imepita, nika-instal pia whatsapp maana ndo ilinifanya niipende hii cm mwanzoni ilikuwa nikihitaji kuingia internet inaniuliza kama nataka kutumia sim 1 au 2 mara...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Za leo waungwana, Jamani naombeni msaada jinsi ya ku unlock locked phones. Nimenunua smartphone ambayo iko locked. Asanteni kwa msaada wenu.
1 Reactions
19 Replies
2K Views
habar zenu wakuu na hili tatizo katika laptop aina hp 530 ina shindwa kuwaka nikichomeka charger kwenye power button kinawaka na capslock taa yake inawaka hala baada ya 30s inazima alafu inakaa...
0 Reactions
1 Replies
916 Views
Hi people: Ninaomba kuelekezwa jins yakubadili use name ktk akaunt yangu ya jamii forum. KWENU WADAU MSAADA PLEASE.
0 Reactions
1 Replies
759 Views
Jamani nina Laptop Hp Compaq nc 8230, mara ya kwanza ilikuwa na tatizo la display inawaka alafu inazima kama inapiga indicator, but nilipopeleka kwa fundi alipoifungua akatoa battery akakonect na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Simu ya samsung galaxy y imelock,nifanyeje wadau?
0 Reactions
1 Replies
827 Views
Hivi jamani pamoja na kupandisha bei kote mbona internet yenu mbovu jamani......huku wakazi wa kimara,mbezi,kibamba yaani ni taabu tupu.....mbona mnafanya maisha ya wateja wenu kua magumu sana ?
0 Reactions
3 Replies
889 Views
Naomba mwenye kujua anisaidie jinsi gani naweza kuweka wimbo uwe ringtone kwenye iphone. Nimerajibu application moja lakini ringtone zake zinakua fupi sana kabla simu haijakatika inaanza kuimba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kwa wale wenye decoder za ting AAL-003 tp 11747 h iko wazi.Enjoy b4 it last
0 Reactions
22 Replies
4K Views
nina lak 3 nahtaj s2. Kama una nyingne weka biashara haigombi. Nchek hapa chin nkupe contact.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom