Wakuu,
Kama mmeshawahi ku-discuss hapa, naomba link!.
Natatizwa sana na hivi vitu, website ya kawaida, web portal na blog.
Nini tofauti yake, in terms of contents, functions and technologies used...
Guys... hii mission kila nikicheza nafail muda unaniishia is there a trick or cheat or easy way to finish it... i simply cant steer the helcopter and place all 4 bombs before time run out!!!!
Jaman humu ndani nasoma kitu kinaitwa router afu huwa sielewi sasa wachambuzi wa mambo kinagaubaga mtusaidie sie tunakuwaga njia panda tukisikia maneno hayo.......help plz! !!!!!!!!!!"
Vodacom wanaturudisha nyuma tena badala ya kutusongesha mbele, cheka bombastiki ya sh 500 wanatoa dakika 20 za kupiga voda kwenda voda na SEKUNDE 50 TU KUPIGA MITANDAO MINGINE, JE HUKU SIYO...
Je unawezekana kutengeneza social site yoyote from the scratch kwa kutumia dream weaver CS6? Kama jibu ni No program gani unarecomend?
Cc C6 chief-mkwawa Nyasiro
What is Linux
Linux is, in simplest terms, an operating system. It is the software on a computer that enables applications and the computer operator to access the devices on the computer to...
habari wakuu...natumia simu ya huawei u8650 but tatizo ni kwamba nikitaka kuangalia video online kupitia website mbalimbali inakua ina goma Goma(scratch ) na mda mwingine blogger anaweza sema...
Salama ? tunaomba kufahamu MICROWAVE Iliyo bora kwa wale walio na uzoefu wa muda mrefu tafadhali, , , tulikuwa tunatumia moja aina ya SUMSANG imetusumbua sana kwa muda mfupi hata haikumaliza mwaka...
Fungua google
Andika jina la Software ambayo unataka serial key zake then mbele unaongeza 94FBR
Mfano IDM 94FBR
Baada ya hapo zitakuja site nyingi zenye serial keys ambazo unahitaji.
Salaam wakuu,
Leo nimewasha pc yangu nakufungua TG nianze kusurf ghafla inaniletea error hii:
nashindwa kuelewa tatizo nn maana kama ni ku-update tg no yangu kwenye web tayari nilishafanya hilo...
Nina Mdogo wangu yuko chuo(jina nimeifadhi) baada ya kupokea hela ya field,research etc akapiga hesabu kile kiasi extra akakitenga na akatunza ili naye aje kumiliki Samsung S4 na Apple iPad
Basi...
Habari zenyu wakuu na heri ya chrissmass na mwaka mpya
Samahani nahitaji mtu/kampuni awezaye kufuma au kuunda wi-fi katika eneo nilipo, kama yupo humu basi aniambie gharama zipoje.
Shukrani.
NOTE: INAHITAJI ADVANCE ANDROID USER,
ROOT SIMU YAKO (ATAKAE TAKA JINSI YA KUROOT ANI PM NA DETAILS ZA SIMU YAKE HASA KERNEL VERSION AMA BASEBAND)
UKIROOT KWA MAFANIKIO DOWNLOAD 2Lines for...
Habari zenu wakuu kunajambo linanitatanisha sana kwa hizi siku za hapa karibuni,kipindi cha nyuma kidogo nakumbuka wakati nikidownload mp4 kutoka You tube wimbo unakuta una mb labda 12, 15 na...
Habari zenu wana JF,
I would like to share this thread, if any one has a comment can just drop down, if you like the thread there is LIKE button you can press it.
On This Thread , Let Know Much...
Wadau ikiwa ni mwisho wa mwaka na sherehe ya mwaka mpya kukaribia nmeamua kuchukua maamuzi ya kununua fireworks ,je ni sehem gani wanauza na je ni sh ngapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.