Nilitaka kuleta rant yangu kidogo na hili jukwaa ndo the closest related I can find, moderators mnaweza kuhamisha mada kama hapa si mahala pake
Siku mbili zilizopita nilienda airtel kudai namba...
cc Chief Mkwawa
Baada ya kumaliza second degreee nimeanzisha internet cafe ya pc 3.... Kaz hamna, nimejiajiri!!
mwanzon nilikuwa natumia TTCL sasa imefeli, cna namna! cpati msaada wa...
Simu yangu inazimika bila sababu ya msingi,, hasa nikiwa natumia internet. Na kuna baadhi ya application nikiwa natumia zinanipa warning ya kuscan for virus,, mpaka sasa cjajua haswa nin tatizo.
Muda flani nyuma niliupload this video kwenye thread https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/558784-you-gotta-watch-this.html :
Well niliahidi another better project coming...
Hii nadhani itafaa sana wakuu,
hebu tumwangalie ni member gan amekuwa addicted, ktk Jukwaa hili,
.
Note : Usijipigie kula mwenyewe,
-usipige kula mara mbili,
-Usimpigie kula ambaye...
Wakuu, Baada ya kuvisit tovuti ya Main Page - Linux Mint na kusoma baadhi ya guide nimeamua ku-install na kuitumia. Lakini kabla ya yote nahitaji ushauri wenu kwanza. Kwa yeyote aliyewahi...
Wadau JF Heri ya Krismas na Mwaka Mpya 2014.!
Naomba nipate msaada kwa mwenye kujua.Nataka kuunganisha Internet ofisini kwetu kwa kutumia Router ambayo inatumia modem,lengo ni kuanza kutumia...
Wadau kuna tetesi kuwa TV za flat za LED za kampuni za LG na SUMSUNG hasa za Korea huwa zinarekodi picha na sauti unavyotumia nyumbani. Wanasema kuwa hukusanya taarifa za wadumiaji na kurudisha...
Tanzania tuko digitali lakini hapa tuliwahi sana, kwani picha inavunjika vunjika ile mbaya hadi nashindwa sikiliza hoja vizuri. Hoja muhimu ya wakili wa utetezi ni haki ya kikatiba ya kupata...
Jamani wadau hizo ndio baadhi ya picha za ndege ya ethiopia iliyotua kwa dharura katika kiwanja kidogo cha ndege Arusha baada ya kushindwa kutua katika uwanja mkubwa wa KIA. Ki ukweli hii ndege...
Wakubwa naombeni msaada. Nimekuwa nikitumia modem ya voda ktk windows 8 ila kila wakati nikiconnect na inaconnect ila inasema limited internet, haionyeshi kuunga net kabisa? Hata nikiweka pesa...
Habari ya saa hii wakuu... Kwa wanaotumia bbm naomba msaada, nabadilisha dp (zaidi ya 10) ila watu walioko kweny contacts zangu wanasema hawaoni changes, dp wanayoiona wao ni ya mandela ambayo me...
Ndugu mdau na mtumiaji wa TUNNELGUGU ninayofururaha kukwambia kua kuanzia sasa vocha za tunnelguru za UNLIMMITED PLAN zitauzwa kwa shiling 7000/= kwa mwezi.na kama mtu akinunua kuanzia mbili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.