Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
wakuu habari ,Najitokeza jukwaani tena kuomba msaada wenu wa kimaarifa.Imekuwa kama kawaida kwamba ukigugo simu nying utaona specification za uhakika ambazo ni sawa kabisa na features zote za...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu wadau naomba usaidizi wenu nina Galaxy 1 na nime download apps yetu lakini inaninyima access ya vitu kama reply, quotes, likes, post topic, tags nk. Inawezekana mimi ndio sijui namna ya...
0 Reactions
2 Replies
879 Views
Habari. Wakuu mshua anataka amia digitali kwa kununua king'amuzi.Ni kipi kizuri kati ya hivo vyote? Kuanzia bei yake, ya malipo kwa mwezi (cheapest), channels za uhakika (ata kama chache, ziwe...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
ni proxy gani znazofanya ka zi siku hz,baada ya zile zingne kublockiwa..mni pm tu wadau,lengo ni kusurf bu...e
0 Reactions
11 Replies
3K Views
JInsi ya kuondoa AUTOPLAY ya FLASH yako ili kujikinga na virus fuata njia hizi start..run.. type "gpedit.msc" then click "COMPUTER CONFIGRATION" open "ADINISTRATIVE TEMPLATE" open "SYSTEM"...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
dddd
0 Reactions
4 Replies
957 Views
Aisee wakuu, hili game jamani likitoka si litafanya watu wasiende makazini au kuingia class kwa wana vyuo? sjaona game yenye reality kama hii so far. Lakini kama nimeona platforms itakua kwa PS3...
0 Reactions
0 Replies
857 Views
Habari gani wataalamu? Mwenye ujuzi huo namna ya kufanya kama maada inavyojieleza tafadhari anisaidie nawasilisha
0 Reactions
43 Replies
11K Views
Hello jf msaada unahitajika pc yangu ukifungua inaleta sms hii dll is missing mara virtual memory is low kwa hiyo inachukua muda sana ku load files msaada please
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Salaam wakuu, Yaan tangu nianze kucheza ea games (whether fifa, NFL, nba live, NFS etc.) Sijawahi kupata game inayokubali kucheza online. Wale jamaa wajanja aisee unainstall frsh ila ukitaka...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jinsi ya kujua information juu ya pc yako cha kufanya 1..go to start 2..type run 3..ingiza neno hilo "dxdiag" kisha bonya enter .....you can see your configuration
0 Reactions
1 Replies
855 Views
Here’s 20 of the best liked Facebook fan and welcome pages in terms of how well they are famous and how creatively they’re promoting their brand. Using three online tools I was able to compile...
0 Reactions
0 Replies
598 Views
jamani nisaaidien niweze kutumia hii simu kwan nimeshidwa kunlock mwenye njia au software anisaidie niweze kunlock itumie line za tz
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani nimekwama naomba msaada wa jinsi ya kunlock galax s4 kuweza kutumia line za hapa nchini:disapointed:
0 Reactions
0 Replies
641 Views
Je inafaa kubadilisha housing ??? bei zake kama unajua tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu ningependa kujuzwa bei ya cm tajwa hapo juu
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi Leo nimepata hiyo warning kwenye simu yangu wakati nikitumia internet,naomba kujua hii ina maana gani na madhara yake ni nini?
0 Reactions
2 Replies
4K Views
ndg,wana jf,wenzangu,najua watanzania,kwa sasa tupo katika mfumo wa digital,na tayari makampuni ma 3,yamesha pewa leseni ya kusambaza na kutoa huduma ya matangazo ya digital,lakini mpaka sasa ni...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Tumekuwa tukijiamini sana, kwamba, computer zetu zipo full protected, kumbe hapana. Sasa kupitia Notepad waweza kumjaribu antivirus wako kupitia harmless virus STEP Fungua notepad kisha copy na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanajamvi mimi nilianza kujifunza programming tuseme accidentally to it was when I was still in form 3.. Na language ya kwanza kuigundua na kuanza kujifunza ilikua HTML hivohivo kwa bahati nasibu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom