Kwa muda sasa nilikuwa najisomea programming mwenyewe hasa java na php, lakini kuna vitu nilikuwa nikijaribu soma nilikuwa naishia kukalili na wala sielewi.
kuna jamaa yangu yeye ni developer...
Wadau kuuliza si ujinga. ....Hii kitu ni nini haswa??? Maana naona kuna post nyingi humu JF kuhusu hii software but sijapata kujua kwa kina zaidi juu ya matumizi yake. So far niliijaribu but ikaja...
Dell Stockholders Approve Merger Transaction
Dell today announced that, based on a preliminary vote tally from the special meeting of stockholders, Dell stockholders have approved the proposal in...
Salam kwenu wakuu..msaada nifanyeje au niwe na vifaa gani ili niweze kuiprint cd?....Yaan chochote kilichoprintiwa katika kava la nje kionekane juu ya mgongo wa Cd...Tafadhar wakuu! mazima.
Delete An "undeletable" File
Open a Command Prompt window and leave it open.
Close all open programs.
Click Start, Run and enter TASKMGR.EXE
Go to the Processes tab and End Process on...
Habari wana JF,
Nauliza kwa yeyote anayejua contacts au ofisi za kampuni ya mSense networks naomba anisaidie.Nimejaribu kuwatafutia kupitia google nimewakosa,pia website yao bado inatengenezwa...
Wakuu hii ni knowledge tuuuuu. Kama una simu yeyote ya Android imeibiwa. Hata kama haikuwa na Software yeyote ile ndani na line ikabadilishwa alafu ikaflashiwa sasa unaweza kuipata kiulainiiiiiii...
This video answers the question "does cleaning your CDs or DVDs with a banana work?". First, take a freshly cut piece of banana and rub it in circles on the disk gently. Rub it well for about two...
Toleo jipya la Android 4.4 litaitwa KitKat na sio kama tulivyo talajia kuitwa Key Lame Pie,
KitKat malengo yake ni kufikisha matumizi madhubuti ya Android kwa kila mtu
Historia ya Android...
kwenye tweet yao Hii hapa nokia uk wamewapiga dongo apple kwa kuwakubali kiaina baada ya kuonekana nokia lumia zimefanana na iphone 5c...
wewe unaonaje?
abari wana teknolojia wa JF, nimewahi kusikia kuwa blackberry unaweza kutumia Internet na kifurushi cha kawaida bila kujiunga huduma za blackberry, je hii ni kweli? Kama ni kweli naomba msaada...
Natumia samsung tab 2 naona kama hizi siku mbili yanizingua texts haziwi delivered on time and its battery niizime ndo ya jaa charge what could be the problem
Habari zenu ndugu.
Nina pc ya acer kila niki install game inakubali lakini nikisha click button ya finish inaniletea ujumbe ambao unasomeka 'WINDOWS CAN CHECK ONLINE FOR A SOLUTION TO THE PROBLEM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.