Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
nahitaji IC ya HP Probook code yake LM 393. Kama unayo nitajie nitakupataje.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wakuu, tafadhali naomba msaada wa namna ya kupanga matokeo ili mwanafunzi wa kwanza aanze namba moja hadi wa mwisho kwa wingi wa alama zao,wako wanafunzi 302, hapa nshaandika majina yao...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
The 5C is too expensive and the 5S doesn't innovate Shares in fell by 5.4% yesterday as Wall Street reacted to Cupertino's launch of the iPhone 5C and 5S, the day before. Investors have...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nina memory card ambayo ukiiweka kwenye simu ama computer inahitaji niiformat kabla sijaanza itumia. Nami nina vitu ambavyo ninahitaji nivitoe kabla sijaiformat. Naombeni msaada wa jinsi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hata kama umeformat mara mia, fungua file kisha rename as autorun.inf ikikwambia already exist ujue majanga, NJIA YA KUFANYA Kama umeona haina fungua file rename it as autorun.inf...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Watalaam wetu,naomben mnisaidie namna ya kutatua tatizo la sim yng tecno t756,nilii-restore factory bahat mbaya,sasa baada ya hapo imeanza kusumbua kwa kila mara kusearch mtandao na pia kuandika...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau simu yangu ya IDEOS/huawei imeleta muskiri kidogo kila nikitaka kuangalia salio,kuingia kwenye huduma za tigo pesa,au nmb mobile,simu inagoma inaleta ujumbe "Connection problem or Invalid...
0 Reactions
0 Replies
933 Views
Wadau simu yangu ya IDEOS/huawei imeleta muskiri kidogo kila nikitaka kuangalia salio,kuingia kwenye huduma za tigo pesa,au nmb mobile,simu inagoma inaleta ujumbe "Connection problem or Invalid...
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Guys ! naomba mnisaidie nikidownload 2go inadownload bt nikitaka kuinstal inanambia JAR not found kwenye simu tecno t605, mnisaidie ili nifanikiwe kudownload
0 Reactions
0 Replies
860 Views
kwa wale waliotupa avatar 2 dongle sasa hivi zinafanya kazi,data service satellite ilikuwa frequencies namba 12728 h 30000 kule dstv wamenunua satellite ndio maana hakuna signal katika avatar...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanduggu zangu wapendwa msaada camera ya cm yang gallaxy ACE 2 haina option ya kuZoom wakati unapga picha,,,PLZ mwenye maujuzi ya ziadda anidondoshee waungwana
0 Reactions
5 Replies
790 Views
Wakuu nimetepeta kuweka source za habari toka vyanzo vingne,msaada wenu unaitajika pliz.?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hallo, Ninatumia Clone TP Link 3G Router TL-WR703N. Kama kuna Mtu Mwenye uzoefu na hizi Ndude tafadhali anisendie Sms right now tuwasiliane anisaidie. Sio Bure. Ukitaka kuiona click hii link TP...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
From the diagram attached,I intend to change the necessary component tthus to change the output voltage.Currently it's 9 vdc output,I need 5vdc. Your technical advise is kindly required!
0 Reactions
2 Replies
705 Views
Habari wakuu ningependwa kujuzwa kazi ya privacy lock kwenye simu ,pia hyo k2 kwa cm za samsung ipo au machina 2
0 Reactions
13 Replies
2K Views
naweza kupata link kwa ajiri za whatsapp kwenye simu yangu aina ya sony ericsson T715 ?
0 Reactions
0 Replies
921 Views
Ndg habari zenu wanajamvi naomba kujua kampuni ipi inatoa cm nzuri na imara kat ya hzo nilotaja
0 Reactions
4 Replies
1K Views
naomba nijue jinsi ya kujua kama pc yangu ni sp1, sp2 au sp3...na je vina ummuhimu gani au vina maana gani? pia naomba ufahamu kuhusu core.....i.e dual core nk. natanguliza shukrani... japo ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau habari zenu .. kwa anaetumia king'amuzi cha continental mie toka jana kinanisumbua sana nina tatizo la antenna ila kwa jana imeongezeka nimeshindwa kupata signal kabisa je>? tatizo ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Njia rahisi ya kuhack nokia symbian series, Fuata maelekezo doesnt work for nokia c5 type (drankkarious 3.1) katika google, search, huna haja ya kuenda mbali, ingia mobile9 then download...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom