"REDMOND, Wash. Microsoft Corp. is buying Nokia Corp.'s devices and services business, and getting access to the company's patents, for a total of $7.2 billion in an effort to expand its share...
Wakuu nikifungua baadhi ya website katika compyuter wangu inaleta message hii na huwa aiendelei; hata niwe nimetype website nyingine ila messaji inakuwa hii,'Safari can't verify the identinty of...
For some time now Nokia has been going all out in its ads mocking a number of its competitors with the main argument being photography. The latest stunt involved the all-mighty 41 MP sensor in the...
Kampuni ya kitanzania ya Rasello inazidi kupaa kimataifa baada ya kuwekwa na jarida la Forbes katika list ya makampuni matano bora kutoka Afrika katika upande wa technology na innovation.
Kwa...
natumia htc ya mchna na pia natumia operamini kubrowser!! Tatizo la operamn ukitaka kudownload kitu inakupeleka kwenye browser ya simu iliyojia nayo ambao inagoma kusurf!! simu yangu ina2mia java...
Wadau, habarini,
nimekumbwa na hili tatizo kwenye simu yangu linaninyima raha saana, natumia Sony ericsson Xperia, (AT&T) Ina tumia android platform. ishu ni kwamba toka juzi apps zote ambazo...
Wanajamii,
mimi nimesoma degree ya kwanza bsc education (math).nimepata nafasi ya kusoma masters ya computer science. Napenda sana maswala ya computer sasa naomba mnishauri thamani ya coz hii...
Habari zenu wataalamu wa jukwaa hili.
Nime-instal software ya Nokia PC Suite ili kuniwezesha kutumia simu original ya nokia kama modem ku-access internet.
Nikinunua bundle ya voda naingia kwenye...
The Promises and Pitfalls of BYOD
Tech-savvy companies know that allowing employees to use personal devices improves productivity and job satisfaction. In addition, enterprises can...
Kwa wale wenye uelewa kidogo wa mambo computer network nadhani tunajua umuhimu na IP address. Iwe ni LAN ,WAN au WWW basi ili pc ,simu au kitu chochote kiunganishwe na internet basi...
Wakuu
naomba msaada wenu, kuna laptop yangu cursor imestuck kabisa nimebadili hadi window lakini hamna chochote.
Pia vile vitufe vya right click na left click navyo havifanyi kazi!
Japo...
Nimeshangaa kuona tangazo la saa ya mkononi iliyotengenezwa na kuwa na uwezo wote kama smart phone,yani google na mambo yote ya mtandao yanafanyika.
NI HUKO INDIA.
kweli tumetoka mbali na tuko...
katika kipindi kisichozidi mwaka mmoja android wapata pigo jingine makamu wa raisi wa android bw hugo bara amejiuzulu na kujiunga na kampuni ya simu ya china itwayo xiaomi,,thamani a kampuni ya...
With an eBay account, the world truly is your oyster.
When you start your online business and you begin listing on eBay, you can reach more customers by specifying international postage on the...
Habari wana JF.Computer yangu imebadili icon zote na kuziweka kuwa short cut. Hivyo naomba msaada wa jinsi ya kuiludisha kwenye hali ya kawaida natumia window 7.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.