Kaka yenu baada yakujikwamua kutoka mikononi mwa mChina yaani Tecno N3 na hatimae kuangukua peponi kwa Mkorea yaan Gallaxy ACE 2 kashindwA kuendelea kuwa ktk Line zote yaani tGo na Voda alizokua...
:help:
Habari zenu wadau, katika matumizi yagnu ya internet nimekuwa nikiingia kwenye websites mbalimbali za uuzaji wa bidhaa na kutoa huduma (mfano: amazon, ebay, ebooks e.t.c) ambazo zinahitaji...
Msaada wenu wadau.
GT wa Jf habari zenu na kama kawaida tukitatizwa tunaleta changamoto zetu hapa.
Katika Resort yangu pamekuwepo na wireless internet tunayonunua toka TTCL. Ila kama miezi...
naomba kuelekezwa nifanyaje ili niweze kuzirudishia key ya F1 - F12 kufanya kazi mf F2&F3 ZITUMIKE KUONGEZA MWANGA NA KUPUNGUZA,f6f7f8 kama foward,pause na backward pia f9f10 kama volumu up and...
Wengi wamekuwa wakilipa bili
kubwa za umeme ambazo hata wao
wanahisi sio halali ukilinganisha na
matumizi yao.
Tatizo la kuvuja kwa umeme
limekuwa kubwa sana,bahati mbaya mafundi wengi wamekuwa...
Wanajamii habari,naomba kujuzwa jinsi ya kuweza kum2mia m2 audio song kupitia gmail kwa kupitia cm ,kiukweli ni mgen kabisa katka ma2mizi ya email hvyo nahtaj msaada wenu
Wanajamvi nisaidieni ninazo coordinats hizi 02°31'34.2" South and 32°53'43.9" E kila nikijaribu kupata picha yake kwenye google map sipati sijui nakosea wapi. eneo hili ni Magu Mwanza
Hivi hakuna mTanzania yeyote aliyefanya CCIE kama Mbongo? nilikuwa naangalia katika website za cisco inaonyesha kuna CCIE holders 17840 (last updated 9/9/2008) worldwide lakini hakuna hata mmoja...
wakuu leo katika pitapita nikakuta cmu samsung s duos et inauzwa 110,000Tshs bac nilishtuka kidogo nikauliza ni mchina nikajibiwa n original na kuna box lake imeandikwa 24months warranty.Je ni...
Nimekua selected kujiunga na chuo cha muccobs bachelor of bussines communication & i.t nimepata ushauri kwa watu mbali mbali wameiponda kua hakuna ajira, haina maslahi, wengine wameniambia...
Salam wakuu,
Nilikua na ka galaxy ace kangu lakini baada ya kukapoteza nikaamua kuswap niingie kwa bb. Sijaona wachovu kama blackberry interms of apps kwa kweli. Bb apps ni chache sana compared...
Wakuu habari za kazi natumai mko poa,Nina tatizo nyumbani la dishi nimeambiwa halifanyi kazi mimi niko nje ya Dar niko mikoani sasa namtafuta fundi mzuri mwenye uhakika na kazi yake asiwe...
baada ya watu wengi nikiwamo na mimi kusubiri kile wengi tulichokuwa tunategemea, kuwa google watazindua lini android 5.0 keylime pie, naona wameenda tofauti kabisa na matarajio ya wengi baada ya...
BBC Dira TV: Kampuni ya Microsoft
yanunua kampuni ya simu ya Nokia.
Nokia ambayo imekuwa ikiongoza kwa
kuuza simu zake, imekuwa ikisuasua
hivi karibuni kutokana na simu mpya
za kisasa kama...
Wajameni nisaidieni mie kaka yenu,,Nina Laki 3.5 nahitaji Gallaxy yenye kuendana na uwezo wang huo ila pia nataka ya high quality,, Ni Gallaxy gani nzuri na wp ntapata hapa Moro,,!!??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.