Wakuu nimeistal softwara ya nokia phoenix service lakin kila nikijaribu kuifungua inaleta hii message " please install nokia dongle' nimejaribu kugoogle sijaipata! Mwenye kujua njia ya kusovu ilo...
Salam kwenu mandugu,nina laptop yangu huwa nikidownload document inakubali,lakini nikidownload video huwa hainiletei window ya kusave au kuwatch later..nilimtafuta it flani akaniwekea IBM lakini...
Wakuu eeh,naombeni mnijuze,hivi hizi NISSAN SERENA spare parts zake zinaingiliana na za Toyota Liteace Noah manake nazipenda hzi Serena ila sijui upatikanaji wake wa spea zake ukoje na hata bei...
Jamani habari zenu?
Wakubwa wenye maujanja ya satellite dishes, nawaomba mnielimishe:
1) Kuhusu frequencies na symbol rate za Citizen tv ya Kenya, na namna ya kuifunga pale kwenye dish la futi...
Fuata njia zifuatazo hapo down
1...
Go to "administrative tools" in the control panel..
2...
In the "services" list,
disable the IMAPI CD-Burning COM service
just test is good
wakuu naombeni msaada wenu kwani nilijaribu kuchukua mara ya kwanza pdf alafu baada ya muda ikawa kila niiifungua inanidai kodi, ikabidi niifute,,,,.sasa kila nikiitafuta ili ni download siioni...
Nina tablet yangu Dell streak 7 inaniambia (The process android.process.acore has stopped unexpectedly.please try again) kila baada ya sekunde chache.. Nikisema ni reset factory settings inakubali...
Jamani naomba msaada. Nina satellite dish futi 5 na LNB model 666 naomba kama mtu anajua ni katika namba gani LNB ifikie kwenye namba ipi ukilinganisha na ile round ya dish I mean up od down kwa...
Jamani kwa msaada wa wenzangu wale mnaotumia simu za nokia s40,ambapo mmejaribu kuinstall whatsapp na ikawa inafail,ni kwamba njia nyingine ni hii hapa.
1.uwe na memory card
2.s40 phone...
How to upgrade the new account to G1/G2/G1+Before i proceed on explaining how you can upgrade using the new tool, let me quickly mention important prerequisite to this upgrade process:
You need...
Salamu zenu wote! Jamani naomba msaada simu yangu tajwa hapo juu kuanzia leo inajizima na kujiwasha yenyewe sielewi tatizo ni nini naombeni msaada. Natanguliza shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.