Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naomben mwenye kujuwa anijuze tafadhali.
0 Reactions
34 Replies
17K Views
KUNA TABLET ZA XTOUCH NIMEONA JAMAA MMOJA KAISHIKA JAPO SIKUWEZA KUONGEA NAE ILA NIMEZIPENDA SANA JE KWA DAR DUKA LAO LIKO WAPII PIA KUNA MTU HUMU NDAN ANATUMIA AU ASHAWAHI KUTUMIA ATUPE MAUJANJA...
0 Reactions
0 Replies
767 Views
Najaribu kutengeneza DeviceAdmin app kwa kutumia sample codes za android sdk. Nikiwa na launch hiyo application napata error activitynotfoundexception: unable to find activity...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ubishi mkubwa umeibuka hapa nilipo wadau kuhusu mada hii: ku crack/ un lock moderm ni kosa au sio kosa? kama ni kosa nipe sababu kama sio kosa pia nipe sababu.
1 Reactions
47 Replies
3K Views
nahitaj kurestore factory default ktk tecno tv20 lkn nimesahau phone password je nifanyeje msaada plz
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habar wakuu cmu yangu ya tecno tv20 naona ka nimemix programme so nimeamua ku restore factory default lkn ckumbuk password je nifanje nn wakuu?nahitaj msaada wenu plz
0 Reactions
2 Replies
2K Views
natumia strong receiver SRT 4620 tatizo sipat star tv na wamebadili satellite ,frequence na mengine naomba uelewesho na jinsi ya kupata mana ntaifanya mi io kazi,naomba mwongozo
0 Reactions
0 Replies
691 Views
Mambo vp?msaada tafadhari CD imegoma kutoka kwani mashine hii ya gateway haina eject kwenye upande wa CD Rom,nainategemea keyboard yake yenye eject sasa kwa bahati mbaya alienipa aliishapoteza...
0 Reactions
2 Replies
815 Views
Msaada wenu wataalam wa simu,kutoka nokia tochi mpaka huku... naomba msaada wenu . ufahamu wangu mdogo kwenye hili.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
naomba msaada kuhusu namna ya kufanya configuration za internet kwenye i-pad yangu ambayo inatumia line kama simu, ninatumia mtandao wa airtel nimesha jaribu kuomba setting kwa kutuma neno all...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Nashindwa kuelewa jamani ni jinsi gani printer huDetect rangi za za wino. Je kuna chembechembe fulani za electron ndani ya wino au ni nini. Pia nilipoongeza wino kwenye cartridge mbona computer...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu nina simu yangu aina ya motorola model namba MB 860. Simu hii mara ya kwanza ilikuwa haina matatizo yeyote. Lakini kwa sasa betri yake haikai na chaji kwa muda mrefu, na nikiiweka chaji...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Communication barrier! Nimejaribu kumpigia mtu nimekutana na kioja hiki. Kwamba simu yangu haiwezi unganishwa kwani nimpigiaye hana salio. Huu mtindo upo nchi za wenzetu, lakini hapa kwetu...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Njia za kuongeza battery life of your windows laptop na hata UPS.. 1.Reduce Screen Brightness 2.Make your display turnoff automatically.. 3.Disable Bluetooth and other hardware devices 4.Tweak...
0 Reactions
0 Replies
976 Views
Wandugu. Natafuta ArcGIS version 10 or Later kama wajua naweza pata wapi please naomba maelekezo..nahitaji ya kununua. Wasalaam Buswelu
0 Reactions
3 Replies
941 Views
Nimepata tatizo kuunganisha net simu ya LG F100L .Pia naomba nijue kama ni ya china au la Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
0 Reactions
3 Replies
805 Views
Habari wapendwa. Nime renew line ya Tigo baada ya awali kupotea, niliambiwa nitarudishwa hewani baada ya masaa ma4 lakini mpaka sasa yamepita masaa kumi haijawa hewani. Msaada tafadhali. kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wale waliokuwa wanapata shida jinsi ya Kuinstall Dashboard ya Mobile Partner Mpya yenye WiFi kwenye Modem zao wanaweza kuchukua hii update niliyoitengeneza. Dashboard hii ukii-run itaingia...
8 Reactions
29 Replies
7K Views
wakuu kuna aina nyingi za za laptop Dell,Toshiba, hp, Acer na nyinginezo ila naomba kujua long term ya hp ni nini hasa?
1 Reactions
13 Replies
6K Views
Kwa wapenz wa tecn jamaa wametoa modernization ya tecno p3, na kuamua kuja na L series. Simu hii ambayo imetoka mwishon mwa mwez wa saba(july 24), imekuja na vitu kadhaa ambavyo vinaitofautisha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom