Habari wakuu, natumia simu ya Sony Ericsson Xperia arc na kila nikijaribu kutumia camera napata ujumbe huu "Unfortunately, camera has stopped". Naomba msaada wa kutatua tatizo hili.
Wadau naomba mwenye link ya kudownload iso burster full version maana nimegoogle imeshindikana kupata yenye keys au hata kama kuna software nyingine yenye kufanya kazi sawa na iso burster maana...
Natumia blackberry sasa kila siku najiunga vifurushi vya vodacom kawaida na pia na vifurushi vya blackberry sasa huwa zile bundle za cheka huwa zinapotea bure,kama kuna njia za kufanikisha hili...
wakuu nilkuwa natumia modem ya zamani ya zantel aina ya Huawei ambayo siyo sild na laini yake. Wakuu je kuna maujuzi ya kuichakachua itumie laini nyingine...
kuna gari aina ya carina TI ukiwasha haisomi kilometer kwenye dash board ila gauge ya mafuta inasomeka vizuri tu, je tatizi ni nini? niliwahi kuipeleka garage nikaambiwa ninunue dash board mpya...
Wadau,
Naomba kuuliza kati ya Laptops zifuatazo ipi nzuri? Kwani nina jamaa yangu yuko Ulaya na ninataka nimuagizie laptop mojawapo, hivyo naomba ushauri kuhusu ipi nzuri kati ya:
1. Toshiba
2...
Imagine una account ngapi online na security unatakiwa kuwa na password tofauti kwa kila account unayokuwa nayo! lazima usahau, nime compile tatu hapa zote zina Plan za Free zinaweza kukusaidi...
Katika pita pita zangu nimeiona mashine hii, nikaipenda ila nikaona niwaulize wataalam humu.
1. Ni upi uwezo wake katika video editing?
2. Je, mzigo huu naweza kuupata Dar?
3. Ni upi wastani wa...
Msaada wenu wataalam, nahitaji photo printer multfunctional ambayo haitakuwa na gharama kubwa. Nataka itayoweza kuprint kuanzia stamp size photos to 8.5 photos. Pia itayoweza kuprint cd!
Pia iwe...
Wakuu,
Kwenye fb account yangu nili-enable security code kwa kutumia namba ya simu. Sasa machine imekuwa formated kwahiyo browser ni mpya na siwezi log in fb mpaka nitumiwe code yao, shida ni...
Wakuu habarini za majukumu ya kifamilia na kitaifa. Mwenzenu nimekuwa nikihangaika namna ya kupata Brother Cartridge Refill Powder kwa ajili ya printer zangu. Shida ni kwamba Cartridge za hawa...
Kampuni ya microsoft iko mbio kuakikisha mpaka mwakani watumiaji wa windows XP OS watakuwa wameupgrade to windows 8 kwan mpaka sasa kuna 37.7 percent ya wanaotumia windows xp kote dunian...
WAKUU MI NNA PICHA MBALIMBALI ZIKIWEMO NA RAMANI ZA VIEW ZA NYUMBA NNAYOTEGEMEA KUJENGA NMEDOWNLOAD FROM INTERNET HAPA ILA NIMEJARIBU KILA NJIA KUZIKUZA SIZE ILI NIWEZE KUZIONA FRESH KWENYE...
Wana jamvi nina tatizo la kigugumizi cha mikono kwenye suala la typing, kuna jamaa yangu ameniambia nitafute program
moja inaitwa typing master. naomba kwa wenye ufahamu na hili wanisaidie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.