Wakuu heshima iwe kwenu, tafadhalini sana naomba kwa anayefahamu jinsi ya ku-unlock hii simu aina ya DELL ili itumie mitandao ya huku kwetu anisaidie simu hii nimeletewa na uncle kutoka Usa...
Wakuu habari zenu
Natumaini wote mmesherekea siku kuu kwa amani na upendo,
Wadau nina ombi kuhusu blackberry yangu 8520 inatatizo la kuplay video kwenye youtube hasa kwenye line ya tigo na...
Wataalamu, naomba msaada, mimi ninatumia dish bado katika kupata matangazo ya TBC1, TBC1 haipatikani. Naomba mwenye kujua frequency anisaidie kama kuna mabadiliko. SHUKRANI.
mara nyingi huwa naformat kwa njia yakawaida au naenda pale kwnye desktop~my computer~right click~manage~disc management~natafuta dsc ya ile memory e.g H then naright click~format. Hivi ndivyo...
natarajia kufanya biashara ya stationary mwanzoni mwa mwaka 2014 mwenye ufahamu wa bei za vitu muhimu kama photocopy machine,printer, na vingine anambie!
Ninatumia toshiba, mwanzoni nilikuwa natumia safi tu kwenye skype na voice recorder. Tatizo limekuja skype na voice recorder hazifanyi kazi tena kutokana na kukosekana kwa driver ya microphone...
Ingawa hackers wana njia nyingi za kuingia kwenye network lakini ni bora kuchukua tahadhani ndogo ndogo na rahisi kujiweka sawa angalau mtu asiweze kuingia kwenye net yako kirahisi, nimeandika...
Salaam wanabodi,
Nimeletewa simu ya samsung yenye OS ya androind vrs 4.0.4 kutoka huko ughaibuni tatizo nikiweka line na kujaribu kununua LUKU au credit kwa mpesa au tigo pesa inaniambia...
Wakuu kila nikija kucheki history ya kwene browser (natumia firefox) nakuta wameaccess(wenzangu) hiyo kitu...
Msaada kama kuna settings naweza fanya au kama kuna software ya kublock mtu kuaccess...
Baada ya kupatikana kwa usumbufu sana TBC 1 katika Intelsat 906 at 64.2 E degree au kukosekana kabisaa,Naskia wamebadili transponder je? Kuna ukweli na kama kweli ni zipi? Msaada samahani.
Mr...
habari wana jamvi,natumia samsung galaxy S3 mini
inakataa kufungua play store na hua ikiload baada ya muda inaandika 'conection time out'
naomba msaada kwa anayeweza tatua hili...
Wakuu habari za muda huu natumai mko poa,tbc wamebadilisha masafa yao kwa tangazo walilolitoa juzi ila sikubahatika kuzipata hizo frq maana nilipata tangazo linamalizika hivyo kama kuna...
Habari,
I have been a fan of this science and technology forum for a long time now, but unfortunately there is rarely discussion on Electronics designing. I don't know what the reason...
Nimeinstall window baada ya kuona iliyopo inasumbua,lakini sasa ndio haiwaki ujumbe inaandika hivi.
HARDWARE MALFUNCTION
Call your Vendor for support
NMI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.