Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
www.anymeeting.com/fuelsolution1 Just log in and let me know
0 Reactions
1 Replies
665 Views
natumia Nokia N97, adobe reader yake imefikia mwisho,nawezaje kupata nyngne 4 free? Mwenye ufahamu pliz
0 Reactions
0 Replies
557 Views
Wadau nina simu ya iphone3, inanisumbua sana hasa ninapotaka kudownload vitu, kwamfano wakati unataka kudowload chochote inakuandikia this application require iOS4,au 5 au 6. Hivyo inashindikana...
0 Reactions
5 Replies
909 Views
Wana jf naombeni kuuliza, niliagiza mzigo flani kutoka ebay na kesho natarajia nikafanye payment, kuna mtaaram anaye jua makato ya TRA, afu mzigo ukishafika na dhl unapigiwa cm kwa ajili ya malipo...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Wana jf naomba msaada kwa anayeifahamu galaxy star
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini wakuu, nadhani title imejieleza vya kutosha so kama vipi ni PM tuchonge vizuri. Logo title iwe Elimu Yetu Tanzania so we ni PM tulonge vizuri.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wanajamvi.... nimenunu Pc mpya hapa windows 8 na ina ms office 2010. Ila haijawa activated. Kwa mwenye keys msaada tafadhali.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ok. Every web developer may not be able to achieve all these, but I think every web developer should at least achieve 3 of these. Check them out and tell me where I didn't make any sense. 1...
1 Reactions
1 Replies
824 Views
Wanajamii habari zenu , kwa yeyote anayeweza kunisadia drivers za epson printer EP-901A ,plz naomba anisaidie ,binafsi nimetafuta online nimechemka ,website yao imendkwa kijapan. Asante.
0 Reactions
0 Replies
758 Views
nimenunua waya wa avg na av cable lengo nipate kuchomeka kwenye laptop output yake nipate kuiona kwenye t.v lakini matokeo yake hamna kinachodisplay sasa naombeni msaada nini nnilichochemka...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Get for free 50GB per Month, for Six (6) month!!... from 31.07.2013 to 31.01.2014 Just Click HERE to get the offer. Offer validity: 31.07.2013 from 00:00 GMT until 03.08.2013 to 00:00...
0 Reactions
1 Replies
905 Views
dah mi nashangaa tu
0 Reactions
4 Replies
2K Views
nimesearch sana sijafanikiwa kupata linki ya kudownload hiyo kitu, mwenye nayo anisaidie au anitumie attached file nilipakue jf daima
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Napendwa kujuzwa wakuu kwa tuliopitia pale kwa hidden hivi jamaa bado anapigisha pindi pale?
0 Reactions
0 Replies
788 Views
Hivi wadau ukipiga risasi hewani juu huwa inarudi chini au inapotelea hewani na kama inarudi chini huwa inadondokea pale ulipo au sehemu nyingine na vipi madhara yake ikirudi chini maana nachojua...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari wanajamvi. Ni wapi naweza pata ma computers yaliyokufa maana nahitaji CPU chips zilizokufa kama hii hapa chini muonekano wake?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za leo wanajamii?? kuna laptop aina ya Samsung notebook (haina DVD Rom) imekumbwa na virus nadhani maana ukifungua folder au file inakuwa ina-blink blink na pia yanafunguka mafaili mengi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu habarini za humu? Leo nimependa nishee ujuzi wangu kidogo wa masuala ya silaha, huwenda kuna wadau wanaona/wanazo lakini huenda wanafahamu kwa uchache. Please kama una swali lolote(ofcoz...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwanzo ilikuwa ina speed nzuri sana. Lakini siku moja nikaona inaprint slow kupita kiasi. Page moja inaweza kuchukua hata nusu saa hivi! Na haijarecover tangu wakati huo! Aina ni HP photosmart...
0 Reactions
2 Replies
879 Views
Samsung Galaxy SIII with cracked screen It works fine though it has some cracks on the screen..for more detail check me on whatsapp or give me a call +255715900510
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Back
Top Bottom