kuna mtu alikuwa anataka huawei mobile partner ambayo unaweza kupiga na kuweka salio moja kwa moja, sikumbuki vizuri sikumbuki ni NingaR au leh , basi nimeona nishee na nyie hii hapa, hii sio...
Ukichukua mayai matatu mazima ya kuku ukayaweka kwenye kiganja cha mkono moja juu ya jingine katika mwelekeo mmoja wa ncha zake,yai lile la katikati litaanza kuzunguka...Ninaomba mwenye kufaham...
Wakuu juzi nilikuwa ile beach ya ocean road, nimeagiza dafu langu sina hili na lile...akatoke mhindi mmoja na gari aina ya Range rover....kwa kuwa kulikuwa na foleni kuelekea salender mwenye range...
Jamani nimei-download hii software ya private VPN na inaniamabia mtandao wangu uko private cha ajabu nimeshindwa kusain in kwenya my yahoo email mpaka nilipoi-offline.
Naomba ufahamu zaidi kuhusu...
mi ni mwanachuo mwaka wa tatu sasa..... najitahidi kutengeneza windows applications na android applications mwenyewe kwa kutumia java..... ila kwa sasa natafuta kampuni inayojihusisha na Java...
Toka jana vocha haziingii walituma ujumbe mfupi eti tuweke kwenye Airtel money...leo nimeingia Airtel money kununua salio inaniambia system is busy...sijaona tangazo lolote kwenye vyombo vya...
Habarini wana jamvi jana nipishusha windo comuter mbili ila zipo connected kwenye network zinashea printer sasa nimemaliza ila nime plug in cable hazionekani nika create small office network ila...
Mods mniwie radhi kwa kupost hii hapa, imekaa ki-technical, hivyo nina imani hapa itakutana na wahusika, kule kwenye matangazo madogomadogo nimejaribu bila mafanikio.
Nahitaji parts hizo hapo...
za asubuhi wadau, leo asubuhi nimenunua umeme kupita m_pesa lakini cha ajabu ni kwamba nimetumiwa tokeni zikiwa hivi :
sasa sijaelewa kabisa. msaada namba yao niwaulize, nimetafuta kwenye web...
You want to learn something but you don't have the inspiration to do so? read this post where i give some insight on how i got started click here to read
Habar wakuu? Samahan wakuu mlango wangu wa DVD room hausom CD na nina lengo la kubadilisha WINDOW. Kuna jamaa ameniambia Nichomoe HARD DISC yng aweke kwny LaPTOp yake ili apige WINDOW chin then...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.