Wakuu,
Tafadhari naombeni msaada yeyote anayejuwa wapi naweza kudownload Windows Vienna last version anipe link hapa. Naomba link ya direct download na siyo torrent.
Ahsante.
Morning friends!
Naomba msaada wa mawazo tafadhali kwa wenye uelewa wa simu mbalimbali, nataka simu yenye uwezo wa kutumia application mbalimbali kama skype, fb, whatsup, JF n.k
Bei ya simu kati...
WAKUU HESHIMA MBELE
KITAMBO SIKUONEKANA MAJUKUMU YAMENIZONGA.
NATAKA KUEDIT PDF MWENYE PDF CONVERT TO MS WORD PLEASE ANIDONDOSHEEEE
TAFWAZALI WAKUU
email:masqtz@yahoo.com
Nisaidieni jamani kwa wenye kujua jinsi ya kuseti PARENTAL CONTROL hasa kwenye king'amuzi cha Star Times, hii ni kwaajili ya kudhibiti uangaliaji wa TV kwa watoto nyumbani
The Blackberry Messenger (BBM) app is to be offered as a download to run on rival platforms. Blackberry said it would initially offer texts, photo messages and group sharing functions on devices...
Wakuu salama? kwa anaejua namna ya kuflush vodafone moderm hii IMEI: 3565117032175237, S/N: 320892712528.
Naomba anisaidie. Voda maeneo yangu inasumbua sana hai connect kabisa.
Nnatafuta pikpik kwa ajil ya matumiz yangu binafsi sio biashara.Katka kuwindow shop,nikakuta pikpik ya kichina Kp125-7.Nmependa mwonekano wake lakin siiujui uimara wake,upatikanaj wa spea,wala bei...
Wakuu Simu yangu leo kutwa nzima imekataa kuwaka, ilizimika ghafla tu then nikiwasha inakuja logo ya apple lakini haiwaki. Nime jaribu kobenyeza kwa pamoja kitufe cha kuwasha/kuzima ya juu na...
Naomba msaada nina modem ya vodacom huawei mobile wifi E5331, imei number yake ni 863619013415495 na S/N: A9R4CA9291200025 naweza kuichakachua ili iwe inatumia na line nyingine?
event imeisha na hivi ni baadhi ya vitu muhimu vinavyopatikana kwenye hii lumia mpya 925
nokia smart camera hii ni feature mpya ya camera ya nokia ambayo picha inapigwa ndefu (kwa muda kidogo)...
Nimenunua na kutumia kwa wiki moja na nusu tu. sasa hai detect simcard yoyote, vile vile ukijaribu IMEI inatoa null/null ni kama haina IMEI namba. tafadhali kwa anaejua tatizo.
Wakuu mimi natumia computer yemye window 7 professional na ina MS Word 2003 naomba mwenye Word 2012 au 2013anisaidie aiweke hapa.naomba pia msaad wa ki=Install maana mimi bado mgeni sana na...
Mara kibao na download files na IDM lakini zinafika karibia na mwisho zinafail. leo bimedownload hadi 91% file la 4.5GB lime fail linastart a fresh hiv kuna njia kweli ya kuokoa hili
You have android phone and you need a simple and proper way of managing your vehicle,trips,refuels,services and other related routes? Have this amazing app. I am telling you try it! its free at...
Kwa wale wapenzi wa radio tunajua ni jinsi gani umeme unapokatika inabidi tutumie betri. Hata hivyo betri nazo huisha mara kwa mara na kuzinunua pia ni usumbufu. Hii hapa ni namna ya kufanya radio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.