Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wadau wenye simu za android na blackberry download hii application ni kwa ajili ya kuangalia Tv kwenye simu yako..ina channel kama 25 na zote ni free na hata kama network ipo chini zinakamata...
0 Reactions
2 Replies
938 Views
naombeni mnisaidie jinsi ya kupakua/ download facebook hacker sababu leo nimeshindwa kupakua
0 Reactions
2 Replies
817 Views
Kwa wale wote wanaotumia BB bila kuzingatia memorry ya sim, la msingi na la secondarry ni ivii, unapotumia BB yako ku browse kwa mda flani ivi unatakiwa kukumbuka ku "CLEAR NOW" hii option...
0 Reactions
0 Replies
706 Views
nilikuwa nahitaji mother board ya toshiba c-650 mwenye kuwa nayo naomba ani pm
0 Reactions
0 Replies
631 Views
Ndugu, Ni aina gani ya laptop ambayo ni nzuri zaidi?? Je kuna ukweli wowote kwamba Acer huwa zinagoma keyboard ?? Msaada tafadhali
0 Reactions
6 Replies
940 Views
Wataalam wangu, hamjambo? Nimepitia Jukwaa la Jamii Photos na baadhi ya waliotuma picha huko wanasema walizipiga kwa kutumia simu zao za mkononi. Je hata mimi na kamchina kangu naweza kupakulia...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau kwa wale mnaotauta a complete alternative to idm solution imepatikana na hii ni kwa watumiaji wa firefox!!! kuna addon ya firefox inaitwa DownThemAll!! hii addon itakuwezesha kufanya vitu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mambo vp wadau nina proxy servers kwa ajili ya free internet kama kuna mtu anafahamu jinsi ya kuzitumia na kuziunganisha niweze ku access net please naomba shule ya hii kitu wazee.thank you
1 Reactions
12 Replies
1K Views
naombeni msaada niliomba maelekezo kwa jamaam mmoja akanitumia rar file ambayo ndani yake kuna txt file mbili moja ikiwa ni pass ya ile nyigine ambayo iko locked lakini ile file ya password...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Glowing Plants: Street Lights of the Future?By Bill Weir, Andrew Lampard, David Miller, David Kovenetsky | This Could Be Big – Fri, May 10, 2013 Email...
0 Reactions
0 Replies
877 Views
naomba mnisaidie pc yangu haina drver ya wireless hvyo nashndwa kupata wireles, nataka kusearch google kama ntapata driver nashndwa kwani cjui hii pc ni aina gani kwan haijaandkwa popote, natumia...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
So, according to a missive spreading far and wide on Facebook, NASA scientists are predicting something called a "universe change" during a three-day period beginning Dec. 23, 2012."It is not the...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
If you type "illuminati" backwards, followed by '.com' as a URL, you will be redirected to the U.S. government's national security page. yaani iwe: itanimulli.com
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Samsung says it has developed technology that could sit "at the core of 5G" - the successor to the 4G mobile-communications standard. The company says its equipment is capable of transmitting...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Simu imetoka nje ya nchi (china ) , shida ni ukipiga namba ya tigo ya tanzania , inaanza na code. +81,na hivyo simu inasindwa kutoka. Na ni namba ya voda tigo 2. Ukipiga kwngine haina shida...
0 Reactions
3 Replies
779 Views
Mimi ni mtu ambaye napenda sana kutengeneza electronic products. Nimemaliza chuo mwaka jana na baada ya hapo nimetumia muda wangu mwingi kufuatilia electronics design industry ilivyo kwa sasa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kama jibu ni ndio tafadhali nipe uzoefu wako unadhan iko vizuri? Na je kwa hapa dar znapatkana wapi?
0 Reactions
0 Replies
702 Views
hi wakuu,natumia HTC magic mytouch 3G ina android 2.2.1 nahitaji maelekezo jinsi ya kua-upgrade had ifike kwenye 2.3.6.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ya sahizi ndugu wana jf.. samahani naomba kuuliza juu ya CDMA phones kama zinatumika Tanzania. Nimepewa zawadi ya simu ya aina hii ni Blackberry 8530 (verizon) haina sehemu ya kuwekea line...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
wakuu naomba msaada wenu, kuna wakati niliona hii feature kwenye laptop ya jamaa yangu, ila hata yeye hakujua jinsi ilivyosetiwa... Natumia window 7, ila version ya WMP siifahamu!!
0 Reactions
0 Replies
470 Views
Back
Top Bottom