Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nahitaji intel motherbord ya dell latitude 620. Ni jins gan nitajua model yake, na bei zake zkoje kwa sasa.
0 Reactions
3 Replies
932 Views
Wadau natumaini mpo powa pande hizi Pc yangu windows7 inabidi ni pige chini windows na kuweka upya, sasa tatizo langu nina vimeo vyangu viwili Old school BB curve 8310 na Iphone 3g nimefanya...
0 Reactions
0 Replies
704 Views
natumia huawei ideos u8150, ni video player ipi itaniwezesha kuplay HD video bilateral matata? nilitumia dolphin video player yenye icon ya green , ila nilifuta nilipo update Tom, sasa siipati...
0 Reactions
0 Replies
646 Views
Mafundisho haya yanaelezea jinsi ya kutengeneza forums kwenye joomla kwa kutumia kunena. Tunaanza na jinsi ya kuipata, kuisimika na mwisho n jinsi ya kuichunga Kunena. Mwisho wa siku unakuwa na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau naomba msaada...hizi headphone zimekataa ku connect kwenye computer pamoja na simu....nifanyaje wazee, msaada wenu waungwana. Nawasilisha
0 Reactions
2 Replies
583 Views
Wakuu naomba mwenye link yenye film/movie, the hard way, anitupie. Au kama unajua naweza kuipata wapi hapa mjini nistue.
0 Reactions
0 Replies
907 Views
kikundi cha hackers kimekamatwa kwa tuhuma ya kuiba zaidi ya 67 bilioni baada ya kuhack system za benki na kubadilisha vijifiga ndani ya akaunt zao hackersss nouma source 8 charged in $45...
0 Reactions
0 Replies
765 Views
naomba msaada tatizo ni nini kati ya display imekufa au mkanda wa connection kati ya screen na motherboard? coz inaonesha mistari mistari then inabadilika inakuwa nyeupe kabisa msaada wenu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu ni printer gani coloured ya bei nafuu isiyosumbua kwenye ujazaji wa wino.dah nimenunua hp photosmart 6510 inasumbua sana kwenye ujazaji wa wino mara nyingine inagoma kabisa kuprint
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu,ninaomba msaada kwa yeyote mwenye uelewa na hii kitu,pc aina ya samsung ukiiwasha inawaka then ikifika sehemu ya ku load windows inazima na kuwaka tena,inazima tena na kuwaka...
0 Reactions
0 Replies
618 Views
Nahitaj simu mpya ila iwe inameet conditions zifuatazo: 1.High quality music(Kwa wanaopenda muzik watanielewa,mfano Nokia xpressmusic ina quality ya juu sana ya muzik kuliko hata Nokia C3 japo C3...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nani alishwahi kutumia whitedoor ku upgrade iphone kwa kutumia white door anipe instructions.
0 Reactions
0 Replies
633 Views
Wa JF, nimeinstall Arc GIS 9.3 sasa katika harakati ya kuingiza licence (ni ya kuchakachua) naambiwa “Failed to change FLEXIm Licence Server. You need to be an administrator to perform this...
0 Reactions
3 Replies
932 Views
Natafuta fundi mzuri wa laptop, ina shida kwenye charging, haiwaki kabisa. Nimeenda kwa mafundi wamechemsha na yawezekana wameharibu hata vingine. Nimeipata mwaka jana haijachoka. Tafadhali kama...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Salam ! Naomba kwenye kujua tatizo laweza kuwa ninni maana hapo mwanzo nilikuwa nafungua vizuri Mail,ingawa hii simu wakati nainunua mpya ilikuwa na Opera Min ingawa sikuwa naitumia kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jinsi ya kudownload window kwenye internet..
0 Reactions
1 Replies
712 Views
Heshima mbele wakuu! Natumia Macbook na natumia Nokia E71 kama wireless router. Tatizo ni kuwa naweza kusurf kwenye internet bila shida ila internet hiyo haitumiki kwenye outlook ambayo ndiyo...
0 Reactions
2 Replies
796 Views
WADAU hii simu imefungwa kwa network ya njee , sasa nataka niweze kutumia hapa Tz .
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naomben mwenye kujua bei ya intel motherboard anijulishe.
0 Reactions
0 Replies
476 Views
Wadau naomba ufafanuzi wa kina kuhusu maana, ubora, na tofauti iliyopo kati ya TV za PLASMA, LCD na LED
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom