wakuu name leo nimehamia kaulimwengu cha blackberry nimenunua kwa mtu sasa nashindwa kuunga net nimenunua bundle ya bb ila haifungui chochote ila jamaa yeye alikua anatumia tigo sasa tusaidiane...
Heshima kwenu nduguzangu
Samahani najua hapa kuna wadau wa mambo ya IT na mambo mengine mazuri
Nina PC yangu ni ASUS ina HDD 250, PROCESSOR@ 1.67, 32-BIT OPERATING SYSTEM, na RAM ya IGB...
Naomba kujua tofauti ya 32bit na 64 bit.
Ni katika computer za aina gani au windows zipi ndo hutumika au kupatikana.
Kazi zake au faida za hyo kitu ni ipi kutokana na utofauti wake?
Napenda saana kuskiliza radio katika simu kwa njia ya internet na ninatumia simu ya Blackberry ila sijapata link,appl au website nikaweza sikiliza kama zilivyo simu nyingine kama nokia na...
Jamani mwenye maujuzi na hii kitu inaitwa Chromebook tablet....kiufupi ni kwamba niliomba rafiki aliyeko ng'ambo anitumie lapto kwa matumizi yangu ya kawaida sasa yeye kanitumia Chromebook na...
Hehehehe ebwana eeh si mchezo Zantel 3G iko juu sana yani kwenye internet download manager napata kuanzia 200KBps to 500KBps mpaka
600KBps kama unavyona hapa
Tena package kwa bei nafuu kabisa...
Maybe it's been happening over the past few weeks, or even months. Slowly, but surely, you've been watching your traffic numbers decline, despite not having changed much of anything about the way...
.,habari ya majukumu wanajamvi.,Nafikiria kununua laptop (brand new) aina hiyo hapo juu naomba wanaofahamu mazuri na mapungufu yake wanijuze.,ukinifahamisha bei na maduka inapoweza kupatikana kwa...
Ni kama siku tatu au nne sasa napata tatizo la jf app kwenye simu yangu kila nikifungua inakataa na kuleta message kwamba "check with the forum administrator" sijui hii shida ipo kwangu tu au ni...
Ni External HDD aina gani ambayo ikow well protected (in case ya physical strains/stress kama kuanguka, shockings et al) na bei zake.
Nimeona uvivu ku google ilhali kuna watu hapa wa kuuliza ;)
Hello JF
Wataalamu wa IT na walio bahatika kufanya zoezi tajwa hapo juu.Naombeni msaada niko na new laptop HP ENYV dv 6.
Ina window 8 najaribu kuishusha kwenda window 7. Baada ya kuona inasumbua...
Wasaalam wakuu,
Kuna kirus nmekuwa nikisikia kinafanya mafile na mafolder yote kweny flash disk kuwa shortcut.
Sasa yamenikuta leo nipo kweny semina Morogoro nmempa flash mwanasemina mwenzangu...
wengi wetu tunazijua simu za nokia asha kama feature phone simu ambazo ni ndogo na zisizo na nguvu, lakini mambo yamebadilika sasa nokia wameijenga upya operating system yao ya asha (Nokia Asha...
kutokana na watumiaji wa jamiiforums kukumbana na ujumbe "Invalid Redirect URL (http://jamiiforums.com)" kila wanapologin na kila mtu amekuwa na lake lakusema nimeona niandike suggestions...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.