Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wadau naomba msaada,baada ya kugeuza dish la Zuku kwenda SES At 4.9 degree,nikaongeza chaneli za FTA(free to air) nikafanikiwa ila sasa chaneli za Zuku zote hazipo zimebaki hizo(fta),pia hata...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
mwenye uwezo wa ku unlock simu hiyo, Tafadhali Naomba msaada.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
nina kamera yangu samsung ST30 inakataa kuwa na mara chache ikiwaka inajizimazima yenyewe au screen inakua green sijaelewa tatizo ni nini haswa na uku niliko sizanikama kuna mafundi wa ukwel kwan...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
salamu wakuu, mimi huwa nafurahishwa sana na teknolojia na vifaa mbalimbali. jukwaa hili limenisaidia nikajua mengi pamoja na forum nyingine nyingi za nje pamoja na channel kadhaa za youtube...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
msaada kwa wakubwa wanaojua masuala ya ku root hizi android phones hususan samsung galaxy pocket ambayo ndiyo simu niliyonayo hivi sasa na naomba tujulishane kuhusu faida na hasara za ku root...
0 Reactions
2 Replies
995 Views
Katika pitapita zangu na kusearch network zenye 3g nkakutana na iyo kitu ufafanuzi tafadhari......
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa mwenye kufahamu ninapoingia kwenye Kamera kwenya BlackBerry yangu 8120 inanipa msg ya 'COULDNOT START THE CAMERA.CLOSE OTHER APPLICATIONS AND TRY OPENING THE CAMERA AGAIN' mwenye kujua hili...
0 Reactions
2 Replies
690 Views
Wadau habari,najya kuna ma computa wiz humu.Nisaidieni. Je ninawezaje kudownload clip nazoziona you tube ili niziweke kwenye storage devise zangu.Je inahiitajika software specia au.Wadau giza...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani wataalamu wenye ujuzi na hilo wanisaidiemsaada nataka niipugrade window yangu kwenda profesional bila kutumia cd wadau kwan nimekwama
0 Reactions
2 Replies
819 Views
General Information 2G Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 3G HSDPA 850 / 1900 / 2100 4G No SIM Dual Mini SIM card Status Unannounced Body Dimensions 115 x 67 x 11.3 mm Keyboard Complete...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Najaribu kufanya application, kwenye OLAS, nafanya after filling academic issues next page doesnt respond it goes back to the previous page I don't know kwamba ni network problem au kama kuna kitu...
0 Reactions
4 Replies
729 Views
Kwa sasa natumia blackberry ila nataka kuhama nihamie kati ya windows au ios ,cjapendelea sana android kwa sababu haikai na charge naombeni msaada wenu wAkuu wenye ujuzi nihamie simu zenye os ipi
0 Reactions
3 Replies
1K Views
asalaa...natafuta fundi wa uhakika wa cm kwa dar. naomba mnijuze nitampata maeneo gani nina cm nataka nimpelekee anirekebishie. asante.
0 Reactions
18 Replies
5K Views
wadau nataka na mm nihamie android kidogo maana saiz natumia symbian 40 ya nokia n3 sasa nna kama laki 2 hv na ishirini nimewaza kati ya huawei y200 na techno N3 sasa msaada wako hapa kwa ushauri...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu nina king"amuzi cha startimes cha toleo la kwanza kabisa cha mwaka 2011,yaani kabla ya kuhamia digital rasmi nilikwisha kinunua nikakitumia kama miezi 4 tu nikakitoa kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Dear wana jamii maelekezo haya yatakuwezesha kudownload whatsApp for your iPhone free of charge (Mimi binafsi nimetoka ku download sasa hivi Step One ; Launch Cydia by tapping on Cydia icon...
1 Reactions
22 Replies
14K Views
Kweli hawa jamaa (google) ni noma,hebu wanaJF tucheki na hii halafu ndio tupeane maujuzi na mustakabali wetu na hii teknolojia; The highly hyped Google Glass has not yet been released to the...
0 Reactions
0 Replies
844 Views
habari wana jf,simu yangu nikiandika website inaniambia unsupported script au insuffient memory af inakata phone memory ni 497k so ni shida memory au ?af nawezaje kubadilisha screen yang cos touch...
0 Reactions
2 Replies
844 Views
Wakuu kwa mda mrefu nmekua niktmia laptop kwa ajil ya kuweka notice zangu na kusomea, bt ktokana usumbufu wa kuzunguka na laptop kila mahal nahtaj simu ambayo itaniwezesha kuweka notice na kuweza...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wadau naomba msaada hapo jinsi ya kulusha airtime kwenda kwenye simu nyingine. nimejaribu ile M2u inagoma.
0 Reactions
0 Replies
9K Views
Back
Top Bottom