Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wadau naombeni ufafanuzi wenu kuhusu hii application yaJF ya BB kwenye suala zima la kudisplay picha kwani nimejaribu kuitumia ila nikifungua thread zenye picha naandikiwa attachment mpaka tena...
0 Reactions
0 Replies
746 Views
Thank you all. The thread has expired once again, sorry for...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Nilinunua ile 3GB Bundle, inaisha kesho, yaani hata 500MB nimeshindwa kutumia, yaani ni ovyo kabisa inadrop data sana, kufungua page mpaka urefresh mara 3-4 ndo unaingia, hizi ndo Ping ninazopata...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
MAY 1 Microsoft Watumia Jina la Kingazija Kampuni ya Microsoft imeingia jikoni kuanza kupika software ambayo itatumiaka kwa njia ya mtandao (remote network) kuingizwa katika tableti au...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Waungwana wanajamvi, naombeni link inayotoa maujuzi wa kutumia line yoyote ktk moderm kwa kutumia nokia pc suite. Nimeisearch mno mno sana ila nimeikosa. Plz help. Natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
576 Views
Google Now Yatinga Kwenye iOS Google sio wachoyo, au tuseme wanaamini kuwepo kuwa bidhaa na huduma zao kuwepo katika gajeti mbali mbali ndio mafanikio ya biashara zao. Google Now ilianza...
0 Reactions
0 Replies
816 Views
Lg watengeneza printer ndogo ya ku print picha unazopiga na simu yako ya mkononi. Habari zaidi hapa: LG Pocket Photo - Printers - CNET Reviews
0 Reactions
0 Replies
817 Views
NImepitia hizi website kwa kweli nimejikuta nacheka mwenyewe, nikajiuliza inamaana mtu ananunua domain, analipia hosting na kisha anatumia muda kucode vitu hivi???? Angalieni wenyewe mjionee Ya...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndugu wana jf naomba mnisaidie computer yangu nikiweka window 7 haitoi sauti ila window xp inatoa ni hpcompaq 7700dc
0 Reactions
4 Replies
4K Views
WADAU HESHIMA KWENU SAMAHANI NAOMBA KUJUZWA KAMA KUNA MTU ANAFAHAMU JINSI YA KUSOMA AU KUFANYA HESABU ZA JINSI HIVI VIMITA VIDOGO UNAVYOWEZA KUFUNGIWA KATIKA CHUMBA CHAKO KINACHOSOMA UMEME WAKO...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Natumia mini Tablet ya Samsung Galaxy tab 2 GT-P3100 ile ambayo WLAN + Celullar, Nimejaribu mara kadhaa kuistall JF inanikatalia. Imekuwa inani-direct Google play store lakini nimeangalia kwenye...
0 Reactions
2 Replies
913 Views
Please help,I am not so Hi-Tech,what is the difference between Ipad and Iphone.There is another device called tablet,what is it?
0 Reactions
1 Replies
745 Views
Wadau natumia ubuntu 11.04 kuna data nataka niziangalie kutoka kwenye file server. je nifanye nini ili niweze kuzipata. kwenye window tushajizoelea ukifungua run > //server name>enter ushafika...
0 Reactions
3 Replies
833 Views
Naomba msaada!kuna mtu hajawahi fika Tanzania,lakini kampuni yake ipo Worldwide!jana amenipigia simu cha kushangaza namba inayotokea ni Tigo ya Tz!Je hii imekaaaje?
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Hii simu aina ya iphone 3G nili reset all settings sasa haitumi txt sms, pia kabla ya kunifanyia kiburi hiki ilikuwa ukituma/ kutumiwa sms kama ulisevu no. Ya cm kwa kutumi no inayoanza na 071...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
msaada
0 Reactions
31 Replies
3K Views
habari zenu jamani, kwa anaefahamu bei ya kusoma hiyo koz hapo juu kwa hapa dar, anitajie bei. asanteni
0 Reactions
2 Replies
899 Views
habari wadau jamii forums,huku ninakoishi kumezuka mtindo fulani katika lengo la kutaka kufyatua tofali nyingi kwa kutumia mifuko michache saruji ,watu wameanzisha utaratibu wa kuchanganya cement...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu natumia HP yenye RAM 4GB(expandable to 8GB) na processor AMD Phenom(tm) II N660 Duo-Core 3.00 GHz Kila nikiweka Windows 8 PC inafanya kazi vizuri tu,ila tatizo inakuwa nzito sana kucopy...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Jmn nngeomba kwa m2 mwenye ufahamu na hii office ya vodashop hapa ppf mwanza, nataka kuomba field ya ICT hapo!, je ntaweza kupata ? Maana mm nmesoma certfcation za Cisco zaid ktk haya mambo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom