hope mko poa.....nahitaji kujua kama kuna VIDEO CONVERTER katika hiyo package ya adobe master collection cs5.5 na kama ipo, nitajie jina yaitwaje?.....thanks in advance
Hello friends
Kama ulikuwa hujui soma hapa chini.
Simu za nokia lumia asilimia zote
hamna hata inayokubali kufanya kazi
kwenye matumizi ya kuhusiana na
pesa kwa maana ya M pesa au Tigo...
Wadau, nasikitika sana kuona watanzania bado tunasukumwa kwa manufaa ya watu wachache.... kila mwaka lazima "kibopa" fulani aibuke na njia za kuwanyonya wa-TZ... halii hii itaendelea mpaka lini...
Ndugu wana jamvi naomba msaada wenu kuweza ku upgrade iOS 4.2.1 kwenye simu iphone 4 3g, maana sasa hivi apps nyingi zinahitaji ios 4.3 kuendelea ili kudownload, naomba yeyote anayefahamu...
MSAADA NAOMBA UKIONA USIDHARAU KAMA UNAJUA HILI...! NIJUZENI KAMA HIKI KIFAA KINATUMIKA HAPA BONGO KATIKA MAWASILIANO android template NA KINAHITAJI INTERNENT JE, MAKAPUNI YETU YA SIMU YANATOA...
Katika pitapita zangu huko nikakutana na hii kitu nikaona niwajuze (copy n paste) na wale waliokuwa hawajui kuhusu historia ya computer in summerized form..:
There is no easy answer to this...
Kiukweli sijapata ona mtandao wa kijamii kama huu[JF],,Watu wake wapo tayari kusaidiana any time..Mpaka najiuliza nilikuwa nakosa mambo mengi kabla cjaijua Jf... nitakuwa naidhurumu nafsi yangu na...
habari zenu wakuu mi nina tatizo la jinsi ya kufanya setting ktk hizi simu za nokia asha kwa ajili ya kupata internet
nimejaribu kufanya njia zote lakini nimechemka jamani majirani aliokuwa nayo...
Swali ambalo mara nyingi huwa ninajiuliza ni kuwa, maisha yatakuwaje siku bila Internet au kompyuta au simu? ni dhahiri kuwa maisha yatakuwa ya upweke yenye visirani vingi. Ukweli ni kuwa Internet...
Nikiiwasha kabla haijafika mwisho inajizima, ikifanikiwa kuwaka hadi mwisho basi, mda wowote inajizima, kuzma kwake inakuwa ina stuck kidogo huku ikitoa mlio rrrrrr, then inajizima, tatizo...
What is apt?
apt is a Debian tool used to manage packages in such a way that when the user asks for a package to be installed the system also installs (or upgrades) all the necessary packages to...
nimesetup email zangu kwenye cpanel, pia kwenye simu na desktop zinakuja na kutoka poa tu, tatizo nnapotaka kulogin lazima niwe redirected kutoka kwenye cpanel.
niliconfigure kwa kutumia custom...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.