Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
nimewahi kumrekebishia mtu ila leo nimeletewa ingine na naona settings ni tofauti na ya awali na ni tofauti na iphone ya kawaida, sasa kama kuna mtu ana uzoefu na hizi iphone za china mobile anisaidie
0 Reactions
1 Replies
882 Views
Habar zenu wanajf. Naomben msaada wa ipi window nzur kwa dell 5050 inspiron
0 Reactions
16 Replies
2K Views
wakuu heading inajieleza...kwa hapa Tz hii simu yauzwaje?na namna gani ntagundua kama ni original?
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Kuna Mtu kafungua account ya FB Kwa Picha Na Jina Langu.. Na kaanza kupost maada Na watu wengi wanaonifaham wamejoin faster.. But he start doing fishy things ndiposa waliponipigia cm kuniuliza...
0 Reactions
5 Replies
954 Views
heshima kwenu wana jamvi tuna website yetu inaitwa vaa.co.tz nataka niipromote kupitia blogs za kibongo naomba mnisaidie kuniambia ni blogs zipi au website zipi ambazo huwa zinatembelewa sana...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndugu zangu mm ni maskini katika eneo hili la kiteknolojia,nina iPhone ya kichina na nataka kuiunga na huduma za internet nifanyaje?au huwa hazifungui internet?na km hivyo inawezekanaje simu ya...
0 Reactions
0 Replies
882 Views
Join us on Monday, 6th May 2013 for Mobile Monday Dar event. This month we are going to discuss about the uses of ICT in Tanzanian Tourism sector. Speaker will include:- Tanzania Tourist...
0 Reactions
0 Replies
885 Views
Washikaji nilikuwa nahitaji hii kitu maana computer yangu ina matatizo kwenye keyboard.
0 Reactions
2 Replies
864 Views
Habari zenu wakuu. Nina samsung tablet GT-N8000 ime-lock na inahitaji PIN kufunguwa. Ime-lock baada ya ku-exceed screen unlock attempts. Nilikuwa natumia pattern ku-unlock screen. Wakati na-set...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Natafuta hiyo software mwenye nayo ani PM nitanunua:sitaki DVD ya kuchoma baada ya kudownload kutoka net ,nataka original!.(nina sababu). asante
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimenunuwa modem yangu ya vodafone na nikawa natumia kama kawaida kwa kazi zangu kwenye internet lakini kutokana na hali nikaamuwa kuitolesha lock ili niweze kutia aina yoyote ya laini lakini kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada kama naweza kupata Key za BeamReader ya BB...Asante Sent from BlackBerry
0 Reactions
0 Replies
724 Views
Heshima kwenu wakuu! Ninapofungua yahoo kwenye laptop maandishi yanatokea madogo kiasi ambacho nashindwa kusoma naomba kwa kwa yoyote anayeweza kunisaidia ni jinsi gani naweza kuzoom in ili yasomeke.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wakuu nina Toshiba ina Ports mbili za usb lkn tundu moja limechomoka jino...kama kuna fundi wa ku repair hiyo kitu ni direct hapa bongo naombeni pia kifaa ambacho kinaweza chomekwa kwenye port...
0 Reactions
6 Replies
858 Views
We want to give something to Tanzania SE community and users in general. What would you want to see as FOSS program? Mh! Probably not kinda "Windows Operating System" or "Microsoft Office"...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimefanikiwa kutengeneza complete website ya kibiashara, everything work correctly isipokuwa user anapo register sehemu ya password imekuwa inapeleka wrong data, mfano user sehemu ya password...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Tokea juzi hili tatizo limeanza kunitokea hadi nirudierudie ndio inakubali kila nikiingia inatokea hiyo msg, JamiiForums Message Invalid Redirect URL (http:// www.jamiiforums.com/)
0 Reactions
31 Replies
2K Views
nilikuwa napita kwenye huu mtandao nikakutana na haya mavitu ya ajabu http://www.uwezeshaji.go.tz jaribu kupitia nawe ushuudie
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hallo wana JF. Kuna kitu kizuri Nmeona Ni-share Nanyi. Kwa wale wapenzi wa Kuangalia Video/Movies/Tv Shows/Series/Sports and everything U name it, there is a Master Gadget Called ROKU 3. Which...
0 Reactions
1 Replies
686 Views
yoyote unayoijua share nami..thanx
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom