Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
nipo kwa Android, mara nyingi sim yangu imekua ikinipa huo ujumbe. wakati mwingine huwa nau-update wakati mwingine napuuzia tu. je nisipo ia-update kunamadhara yoyote naweza kuyapata,na...
0 Reactions
0 Replies
826 Views
Waugwana naomba msaada wa maelekezo jinsi gani naweza kuunganisha modem(HUAWEI E173) kwenye Tablet>CUBE K8GT inatumia android v4.0 ili iweze connet internet coz haitumii SIM card...Natanguliza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
nmesikia juu juu kuhusu startimres mobile phone, plz naombeni mnijuze, inatumia nn kudaka signals, internet au satelite!! na kama internet ntaipata service hyo kwa other phones
0 Reactions
8 Replies
1K Views
SIMU YANGU inagoma kufanya kazi kila mara na kuandika herufi yenyewe hata nikipigiwa haikubali kupokea button zote zinagoma tatizo litakua nini? Suluhisho lake
0 Reactions
1 Replies
912 Views
habari zenu wakuu, nina lap yangu hapa niliinunua kwa mtu haina partition kwenye drive c kwa maana gb 320 zote ni drve c. inawezekana nikaifanyia patition bila kuifomat nataka gb 80 hivi niweke...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Natumia windows 7.. kwenye laptop aina ya dell ila tatizo imegoma kukamata network ya internet hapa ofisini.. tangu nimeinunua natumia moderm hivyo kuna jamaa ameicheki akadai haina driver za...
0 Reactions
1 Replies
676 Views
Hallo wana JF. Maendeleo ya Technolojia yaliyopo hivi sasa, Wataalam wanasema kuwa Still we haven't seen the Best yet" Hivyo Basi kasi ya technoljia inaendelea kukua kila kukicha hapa Dunia. My...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau naombeni mwenye maujanja ya kurahisisha zoezi la kuhamisha contacts (phonebook) kutoka iphone 3GS kwenda kwenye Samsung Galaxy Note. Kuna contacts zaidi ya 1000 na kuimport haiwezekani maana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimenunua simu aina ya Huawei model no. U8655-1 toka Tigo. Haikubali laini nyingine zaidi ya Tigo. Internet ya tigo iko low na hawana 3G ambayo simu ina support. Nawezaje ku kupata unlock code ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina samsung TV inch 32, ni series 4, nikiweka video kwa flash hazichezi, nimejaribu kuziconvert kwenda kwenye avi na baadhi ya format zinazingua bado, je nitumie nini au converter gani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika kuendeleza ubabe katika ubora kampuni ya apple inatarajia kuzindua television set ya lcd yenye led backlight itakayoenda kwa jina la itv. Hii itakuwa na inchi "60, remote ya kawaida...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Google Kutoa Kompyuta ya Miwani Mwaka Huu Google ni ulimwengu wa uvumbuzi wa bidhaa na majaribio ya teknolojia, katika baadhi ya mawazo na uvumbuzi ambao Google wanaendelea kufanyia kazi...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwanza kabisa natanguliza pongezi kwa wadau wote wanaolitumia jukwaa hili kwa kutuelimisha kuhusu maswala mbali mbali.. Ombi langu ni kuwa, Nahitaji kuweka mfumo wa flash kwenye ps 2 zangu, wadau...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Russian Billionaire Plans To Make Humans Immortal By 2045 immortalize A Russian billionaire has unveiled plans to make humans immortal by converting them into Terminator-style cyborgs a...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanajukwaa!! Chonde, nielewesheni. Hii wi-Fi ni kitu gani hasa na ina umuhimu gani katika simu? ukitaka kuitumia, unajiungaje?
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Kampuni ya Nokia imezindua simu yake mpya ya mkononi ambayo ukiichaji mara moja tu, unaendelea kuitumia bila kuichaji kwa siku 35.. ni simu ambayo inatarajiwa kupata soko kubwa sana kwenye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
We just reset your limit account to 0. You have a 'LimitSupervision' subscription with limit -5000000.0 for 0 Tsh per month, valid until 01.01.2050. Jamani wana jf nimepokea message hiyo kutoka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
mtu anayeweza ni wapi nitaipata pdf reader kwny nokia asha311
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naombeni wataalamu msaada wa kupata frequence za chaneli za Kenya na Uganda zinazoshika kwenye satelite dish pia nasikia Mlimani tv,Dtv na Zbc pia zina frequence zake pia zinapatikana...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu msaada, naombeni mnielekeze ni utaratibu upi unatumika au ni wapi nitaweza kujiandikisha na kusoma courses zote za cisco online.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom