Salaam wataalam wa mambo ya tehama....samahani kwa mwenye kuweza kuweka internet download manager software ili tu-download na kuinstall (not a trial version please) naomba msaada huo coz naihitaji...
Habari wandugu
Naitaji msaada kwenu kwa yeyote anayejua kublock (kuweka password) documents katika computer (pc & laptop)
ili mtu mwingine asiweze kufungua na kuchukua data zangu au mafile yangu...
HESHIMA WAKUU JF:
Nilikuwa nahitaji application either ya kununua au ready made / addons kwa mtu anayeifahamu ambayo nitaitumia ku manage facebook page.
kwa mfano mtu unaweza ukawa unamanage...
Tafadhali naomba msaada, iphone yangu iliisha charge ikazima.nilipoweka katika charge nikaiwasha ila haikuwaka hadi sasa tokea mchana ilipozima.Nimejaribu kubadili charger,port etc. but in...
Wadau natumia modem ya zantel kwa muda mrefu sasa ila baada ya kuinstal window mara kadhaa saiz inagoma kusoma yaani huwa inaleta mesage Found new hardware afu inasach mwisho inasema usb drivers...
Do you want to make your computer speak to you? make your computer talk what you want thistrick is very simple anyone can do even a baby can do this just follow this steps..
Go To Start menu...
NJIA ZA KUFUATA KUCHAKACHUA
WINDOWS 8 APPLICATION
download software yoyote ya
kulipia (download trial)
then download crack ya
software zote kwenye hii
link http://
www.mediafire.com/...
Ni baada ya kukanyagwa na trekta kubwa na hivyo kulazimika kubeba uzito wa tani 24! Kama mimi nisingeitafuta, kungekuwa na haja gani? Lakini mmiliki wa simu hiyo aitwaye Ossi Pyykkonen aliitafuta...
Messaging app WhatsApp is in the negotiating phase over prices with Google in what could be Googles next billion dollar acquisition, according to an inside source.
While the deal started four...
Hello,
Natafuta charge ya laptop Hp 655 (Picha hapo juu). Naomba mnijuze ni wapi hapa dar ntapata charger original (genuine) and at a fair price.
Thanks in Advance.
Samsung kabla ya kua giant katika idara ya smartphone alikua ni manufacture mkubwa wa components za simu vitu kama vioo vya simu na chips. Manufacture wa simu wanadesign sample then unawapa...
Mi natumia blackberry 9700, simu yangu ina wiki sasa screen inaweka marangi rangi na inakata maneno, ukiandika unakuta neno moja lipo chini lingine juu, inatoa mstari toka juu kwenda chini...
Nilikua namuwekea jamaa programs kupitia external hdd yangu, after tym programs zikawa not responding, at end system ika freeze kabisa. After restart nikarudisha external hdd tena ika detect but...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.