Picha, music, documents zipo kwenye cm lakini sizioni. Nikiconect kwenye pc naona shortcuts zake na nikifungua naziona.
Ila kwenye simu hazionekan kabisa!!
Msaada pls
Naombeni msaada waungwana namna ya kurudisha software ya webcam katika minilaptop yangu ya samsung N150 plus. Mwanzo nilikuwa nikitumia cyberlink youcam kwenye windows 7. Niliondoa wimdows 7...
i bought Huawei cdma, lile simu kubwa la mezani kitambo sana...speed yake ni 256kb/s...kwa zamani nadhani ilikua ni speed iliyokua inakidhi maitaji yangu..OLD IS GOLD,nimeitunza sna,sasa nilikua...
simu yangu inazingua network inakuja na kusepa,nimejaribu kureset bila mafanikio,sometimes inanionyesha km na roam vile,sijui tatizo nini,msaada ndugu zangu..
Hi,
Naombeni msaada kwa yeyote anaejua kuhusu BB software nimewipe BB bold 9700 ilkuwa na OS ya v5 nilitaka kuweka v6 imeniletea white sreen na msg hii Reload software:507 nafanyeje maana...
Uchambuzi: Sababu za Apple Kutamba Kwa Apps
Apps huwa zinatangulia kwenye iOS na nyingi za hali ya juu hubaki kwenye platfomu hii kwa muda mrefu na nyingine huishia kutopatikana kabisa katika...
Internet is one of the most effective marketing tools now. So getting your company online will help you in increasing your sales. If you can manage to do the techniques to increase the amount of...
jamani ndugu zangu hivi ni kwanini huduma ya m pesa imekuwa kero mara haipatikani mara msg hazirudi wakati pesa imeenda na mengine kibao. Kama mnashindwa mseme tuhamie kwingine
Hi jf
natumia iphone 5 nili download apps za jamii forum kwenye simu yangu miezi mitatu iliyopita na ilikuwa inafanya kazi vizuri tu wiki kama mbili hivi nikiifungua inafunguka ila nikianza...
Naomben maelekezo wana jf jinsi ya kujiunga na zantel offer ya unlimited bundle in which they charge you ten thousand for three days...nina modem ya airtel ambayo nimeiflash kutumia line zote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.