Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Jaman naomben msaada kwa hili swala, nmekutana na computer takriban kama tatu hv Zinaonyesha vivuli ktk icon za kwenye desktop (yaan program zote zinakuwa highligted) so any help namna ya kutoa...
0 Reactions
4 Replies
642 Views
Hallo Waungwana. Naomba Suggestion kutoka kwenu kwa yoyote anayefaham/aliyewahi kutumia Router yoyote inayopafom vizur kwa Sasa, Aina/sifa zake na Bei yake tafadhali. Sio vibaya pia uka Upload...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau hii app lazima niinunue? Hakuna ya bure?
0 Reactions
5 Replies
289 Views
naombeni msaada wakuu.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba msaada namna ninavyoweza kumtumia mtu email au kupost humu ndani nikiwa nimeweka link na mtu akibofya anakuwa directed kwenye site husika
0 Reactions
197 Replies
13K Views
Je ni antivirus gani ya kudownlnad ni nzuri(itaprotect computer for real) na inakuwa dowloaded easy! Hata kama ni trial! Nimejaribu AVG inaishia njiani msaada plz!
0 Reactions
6 Replies
820 Views
Mi ni mtumiaji mzuri wa IDM ha ajabu leo wakati nataka kudownload, ikawa inanambia you cant download because IDM has being registered with fake serial number. Sasa wakuu mi nkawa nashangaa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu,nilikua ninaomba msaada kwa yeyote yule anayefahamu hili tatizo,ni kwamba mouse ya laptop yangu sensitivity yake ipo chini sana,yaani unaweza ukachezesha kidole juu yake lakini...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
This is truly a keeper. Faster and better than Google Earth.. ANY ADDRESS - ALL OVER THE WORLD Much faster than Google Earth. It's unbelievable technology. Is there a place to hide on...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
naombeni kujua wajuzi. wapi ninaweza kupata huduma hii ya kuangalia Cheneli za bongo kwenye mtandao?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Umeme ni jambo linalosumbua sana katika bara la Afrika na pia katika nchi za kimaskini kwa ujumla. Hii sio hali katika jengo la The Pearl River Tower, jengo bora kimazingira Duniani ambalo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Amani kwenu! Rafiki yangu kanipigia, anasema mdogo wake haonekani alipokwenda, akipigiwa simu anapokea mtu mwingine na anajibu vibaya. Kaniambia nijaribu kuona kama naweza kujua location ya hiyo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wadau salamu, Naomba msaada wa app inatakayoniwezesha ku download nyimbo bila kikwazo Asante
0 Reactions
2 Replies
916 Views
Wakuu, Heshima kwenu ! Nawaomba mnisaidie jambo. Mimi nilikuwa natumia Black Berry na imepotea kwasasa lakini nnapata mashaka sana kwamba labda kupitia PIN NUMBER ambayo haiwezi kubadilika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau kuna desktop ya zamani sana, NCS, imefanyiwa installation ya windows xp ikawa ime fail. Sasa kila nikijaribu ku install upya windows xp inagoma ku boot toka cdrom wala kuonesha boot order...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu nataka kununua simu ya huawei u8655-1, inayotumia android, so kama kuna yeyote mwenye uzoefu na simu hizo anaweza kushea na mimi kabda cjainunua
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wakuu najua wajanja wengi basi nisaidieni niweze kupata hiyo ki2 nimeangalia hizi video lkn nimetoka kapa How To get Zbigz premium Account 2013 - YouTube Get Zbigz premium accounts and cookies...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu?? Nipo kijijini na busy sana, jana nimepata muda nikasema walau niangalie nini kinaendelea kwenye mitandao yote ikiwepo ya kijamii thanks JF imekuwa easy na mingene. tatizo langu ni...
0 Reactions
2 Replies
973 Views
laptop yangu toshiba satelite l305 haina cdrom hvyo nikatoa hdd na kuweka ktk laptop nyingne toshiba satelite c850b,baada ya ku finish nikarudisha kwa ile l305 lakini laptop inawaka mpaka pale...
0 Reactions
5 Replies
948 Views
Wakuu, nahitaji msaada wa haraka. Natumia windows 8 lakini sasa hivi nikiwasha pc ikifika desktop mode inaniambia "windows detected a hard disk problem" my pc is dell insipiron mini lakini disk...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom