Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu pc yangu inakataa kulog in as adminstrator, inajibu the referenced account is locked out and may not be log on, nimejaribu guest account nayo inajibu user profile can not be loaded, msaada...
0 Reactions
4 Replies
724 Views
Tableti za Windows 7" na Windows Mpya? Miongoni mwa masharti ya Windows 8 ambayo yaliwekwa na Microsoft ni kutoruhusu tablet zenye rezolushani chini ya 1366 x 768, lengo la Microsoft likiwa ni...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu zangu nahitaji mini laptop ya bei rahisi kabisa itafika shilingi ngapi?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wagonjwa wenzangu wa movies,ebwana kama ulikua hujapata dawa basi jaribu kuchek na hii httpfilm.com ebwana hapa no registration wala premium members.. Ni freeeee+high quality.....USIACHE KUJIBU...
0 Reactions
1 Replies
796 Views
Kila ninapowasha simu (Nokia E61i) inaonyesha kuna installation inaendelea "Installing....". Baada ya kama dakika moja naletewa ujumbe "Unable to install the remaing part from memory card, to...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ningependa kujua kuwa baada ya kuanzishwa mfumo wa digitali wa TV, wanaotumia ving'amuzi wanalipia fedha zaidi ili kuweza kuangalia tv au channel zinapatikana bure? Kama ni bure, ni zipi ambazo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu tafadhali naomba anayetumia hiki kisimbuzi ansaidie jibu, nsijeingia cha kike...! Kuna jamaa yangu ametoka Iringa ndo aliyenipa habari hii, ila tatizo hana uelewa sana na hii kitu, zaidi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Upungufu mkubwa unaozungumziwa kwa simu ya iPhone kwa sasa ni udogo wa skrini, safiri pamoja nasi katika makala hii kwani Apple wamepata hakimiliki yenye miujiza mingi mno ambayo huenda ikawa ndio...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
guys mambo vipi kuna hii advert ya travian game yaani linakuja kila ninapofungua website yoyote ile inajiopen automatic katika new tab sasa kama kuna mtu ana ujuzi wa jinsi gani ya kuitoa yaani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hong Kong Yavikwa Taji la Kasi Ya Intanet Ulimwengu mzima kwa sasa kasi ya intaneti ni jambo la muhimu kwa watumiaji wa kompyuta, katika utafiti uliofanyika hivi karibuni unaonyesha kwamba...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Two Russian security researchers have discovered that majority of 3G and 4G USB modems provided by mobile operators to their subscribers are wide open to attacks. The researchers tested many 3G...
0 Reactions
0 Replies
771 Views
wakuu kuna software flani nimeikuta kwa jamaa inaitwa 3 mobile broadband manager hii unaweka line yoyote kwenye modem yako ya voda tigo au airtel af una konect unaingia mtandaoni kama kawaida...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Kama heading inavyosema, kutokana na kukosa muda wa kuingia darasani naomba ushauri wenu kama naweza kusoma IT, na je ni vitabu vipi vya kuanzia au kama kuna mtaalamu humu anafundisha kwa njia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Fusion Leviathan: Ni Kompyuta Yenye Kasi Duniani Ukizungumzia kompyuta za mezani, Fusion Leviathan ni mashine ambayo haina mpinzani kwa sasa katika kasi na nguvu. Hapa hatuzungumzii kupendeza...
3 Reactions
38 Replies
7K Views
Salaam wadau, tatizo langu Nokia C2-00 imegoma kuwaka, ukiwasha kunatokea andishi la nokia kisha inaganda na hakuna kinachoendelea, huwezi kuzima mpaka utoe betri, tatizo linawezakuwa nini na...
0 Reactions
3 Replies
923 Views
Hebu fikiria ukinunua huu mtego sio tu utakuwa umejikinga wewe na watu wa nyumba yako na mbu bali huenda ukawa umeunusuru mtaa mzima na malaria, adha ya sauti za mbu pamoja na vijipele vya...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
wakuu naomba msaada wenu nilikuwa nikifuatilia laptop maana nataka kununua sasa mtu mmoja niliongea akaniambia toshiba ni nzuri,kwa walio na uzoefu wa laptop naomben mawazo yenu
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Meseji baadhi ukifungua unakuta vidot na meseji yenyewe hainekani tatizo ni nini?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni htc-my touch-android mtandao internet iko chini kupita maelezo mara ikubali mara igome ila kwa sasa kila swala nnalojaribu fanya inaandika Sorry! Activity(in application(kitu nnachofungua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hallow wanajamii, kuna kazi moja ya graphics, mtu aliyetayari kuifanya tuwasiliane nae. Kaziyenyewe ni kuibadilisha hii logo hapa chini ili iweze ku"animate".Nataka hiyo dunia inayoonekana...
0 Reactions
3 Replies
891 Views
Back
Top Bottom