Wakuu,nafanya kazi vijijini na naomba msaada wa ushauri kwa simu inayoweza kunisaidia ku access mail,download some files/attachment.
Nimeiona hii android ya HUwaei inayouzwa na tigo na bei yake...
Raha ya hii tarehe ya leo ni uongo mwingi. Na google mwaka huu wamekuja na uongo wa style yake wakauita google nose; yaani ukitafuta harufu ya kitu chochote kwenye simu au computer yako google...
salaam wana jamii
tafadhali naomba msaada wenu wanajamii kama kuna mdau anawezakuwa na software ya Myob accounting package kuanzia version 13 paka 20.nimetafuta kwenye internet lakini sipati na...
Habari wanajf. Nina simu aina ya Nokia 2700 classic, mwanzo nilikuwa nasign in bila tatzo katika mtandao wa Yahoo. Lakini kuanzia mwezi january kila nikijarbu kusign in inaandika hivi ''We can not...
Wanajamii, habari!! Naombeni msaada. Kuna jamaa yangu ameniletea simu yake yenye android, samsung galaxy 2, na kuniomba nimuelekeze namna ya kujiunga na kutumia watsup (sina uhakika kama ndo...
Natumia hita kila baada ya wiki kadhaa inayeyuka, nimejaribu kuweka pamoja na multi plug ya tronic ila bado imeyeyuka je nitumie ipi jamani? Kuna jamaa kanishauri nijaribu socket switch ambayo ni...
katika michakato ya kujiridhisha kuhusu faida na hasara za teknolojia nikakutana na hii kali ya laptop kuweza kusababisha ugonjwa wa kansa ya ngozi sehemu ya goti. Naomba ufafanuzi wadau wa tech..
Samsung Galaxy S4 ndio simu ya kwanza kuwa na prosesa aina ya Exynos 5 yenye core 8 (Octa), ambayo ndio prosesa yenye nguvu kuliko zote katika soko la simu kwa sasa, kwa mujibu wa taarifa...
Data Recovery and Repair Tools
Losing important data can be a nightmare. Depending on your particular problem, try out the software below. With a free scan you can see what it comes up with...
MAR
30
iPad Kuendelea Kutamba Kwa Mauzo
Ipad ndio tableti inayoongoza kwa mauzo katika soko Ulimwenguni kwa sasa, ingawa hisa ya mauzo ya tableti hii inaendelea kushuka mwaka hadi mwaka...
Google wametangaza rasmi na kusajili washiriki wa mkutano wao mkuu wa mwaka huu unaojulikana kama Google I/O 13. Mkutano huo utafanyika Moscone Center, San Fransisco kuanzia tarehe 15 - 17 mwezi...
Baada ya kuona machine inakuwa nzitio sana niliamua kuifanyia defragmentation kwakweli angalau imekuwa na speed kidogo lakini tatizo lakini niweka moderm ya inetrnet sipati signal kabisa ina soma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.