Amani kwenu wana jukwaa,
Kuna jamaa yangu mtaalamu wa IT amenipa hii link ya programu ambayo unaweza kuiga sauti ya mtu(angalia pia attachment)
link yenyewe hii hapa: AV Voice Changer Software -...
Kuna watu wengi wanamiliki blogs Tanzania lakini hawana uwezo wa kucode na kusababisha kupata shida sana wanapotaka kucostomize post za blog ziwe kama wanavyotaka wao. Lakini watu hao hao unakuta...
!!! FOR ANDROID 4.x PLEASE USE NEW VERSION:forum.ponury.net • View topic - New WiFiKill for Android 4.x !!!
*** ROOTED PHONES ONLY ***
WiFiKill
allows you to scan your wifi network for...
Habari zenu wakuu, laptop yangu kwa mda mrefu imekua na tatzo la VGA yaan display huwa inakata. Nmekua nikpeleka kwa fund na huwa ana i heat ile VGA au wanaiita nvidia card. Tatizo langu n kwamba...
23/03/2013
TouchWiz ndio koti pekee ambalo limevalishwa kwenye android na bado linatumika kwenye OS iliyotolewa na Samsung wenyewe yaani Bada OS. Ingawa kwa sasa si simu nyingi za Samsung ambazo...
11/03/2013
Chanzo: Gajetek - Gajet na Teknolojia
Hii Ndio Samsung Galaxy S4?
Zikiwa zimebakia siku tatu/nne kabla ya uzinduzi rasmi wa Samsug Galaxy S4 huko New York, picha inayoaminika kuwa...
Samsung wameleta Samsung Galaxy SIV....na kama kawaida kuna vitu vipya ati... ni vizuri coz Galaxy SIII lazima ishuke bei....na wazungu watuletee used....
Kujua zaidi kuhusu Galaxy SIV soma hapa...
23/03/2013
Kama ulidhani Samsung Galaxy S4 ndio kali ya mwaka kutoka Samsung basi kaa mkao wa kula, Samsung wametangaza TV ya S9 kuwa itauzwa madukani mwaka huu. TV hiyo ambayo ni 4K Ultra HD...
Habari za kwenu wanaJF,
Naomba mniambie ni software gani zinazofanya kazi 100% katika kurecover files...
Kuna mtu nilimuachia camera yangu atumie akaiformat (delete all the files) ili apate nafasi...
Za jion wana JF nimejaribu kucreate ka shutdown application kwa VB 2010 kakusaidia kuzima computer, kurestart na kuhibernate nikaona nishee na nyie kidogo haka kaujuzi kadogo niliko nako ni just...
wakuu natanguliza heshima kwenu na salam za mwaka mpya natumaini sote tu wazima wa afya..
ila tulio wengi mwaka huu wa digital unatuchachafya sana ?? mm nilikuwa na kitu ambacho kama...
Wakuu laptop yangu imeanguka kutoka juu ya meza , lakini bahati nzuri inawaka vizuri ingawa screen ndiyo imepasuka.
Kuna wadau wameniambia natakiwa kununua screen mpya hivyo wahusika wa hizi...
DNJXJ-7XBW8-2378T-X22TX-BKG7J DNJXJ-7XBW8-2378T-X22TX-BKG7J Windows 8 Release Preview Universal Product key: TK8TP-9JN6P-7X7WW-RFFTV-B7QPF Ukitaka enable Windows 8 Media Center Tumia product key...
Angalia jinsi technology ya kumuwekea mtu maneno kwenye Video. Je Video ya Rwakatale na Shehe Ilunga imetumika hii Technology aka Kalufundi? Uamuzi nawaachia wenyewe......
Wakuu natumia win 7 ultimate, lakini toka jana kila napoiwasha PC inaleta hiyo error then inanambia niregister window yangu. Nimejarib keys kibao za google zimegoma, pia nimejaribu ile ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.