Glad to announce version 2 of Alpha series of Kasuku Player. Not very fancy yet but going there. Some goodies:
In addition to Import directory you can open files
You can scan directory to add...
Habari Za muda huu wakubwa.
well here is my concern
for a PC with the following specification what is the conviinient price.
Dell latitude E6500
4GB Rama
150GB hdd
Intel core 2 Duo 2.5ghz...
wakuu naombeni msaada wa working link ya software ya kufanya kazi tajwa kwenye kichwa au mwenye nayo basi naomba ani-attachie sababu nimetafuta bila mafanikio
Jamani za leo?mi natumia samsung gt-c3222 nimejaribu ku downloa d music from waptrick mp3 imemaniza kudownload ila nyimbo hazichezi kwenye sim yangu nikiclick inaniambia unsupported file.what...
Digital Millenium Copyright Act,
sijaisoma yote, lakini kama itakuwa implemented, basi mambo yatakuwa magumu kwa baadhi ya watu, actually watu wengi wanaojihusisha na kazi mitandaoni.
kiufupi...
Wakuu heshima yenu !
Hapa janvini kulikuwa na ubishi kuhusu taarifa mbalimbali kama tarehe ya kutengenezwa video, aina ya kamera ya iliyotumika, ukubwa wa pixels nk. Kwa kutumia MediaInfo...
Kuna jamaa wanajinadi wanauza app toka TIGO Wakati tigo wanasema hawawatambui in details fungua hii link uone http://www.anti-mobileapp.wapka.mobi/index.html je kuna ukweli hapo au ndo mambo ya...
wadau mambo vipi jana nilikaa kijiweni nikasikia wanazungumzia habari hii,nikabishana nao sana,wameniambia wameckia kwenye radio nimejaribu kuangalia source zangu net cjaona wala kwenye magazeti...
wakuu naombeni.mnisaidie ni kwangu au kwa wote speed ya internet yangu ya voda imepungua kweli na huku inaonesha HSPA sio ata edge yani.iko as low as 5.6kb/s kuna njia kweli ya kuiboost natumia...
Yupo bwana mmoja ana iphone 3s imeandikwa kwa nyuma designated by apple in califonia authorized in china swali langu ni je hii ni orginal au feki? Na je hii in operating system kama ndio je...
SALESCORE LIMITED We are leading supplier of high-end products to customers, we deal primarily in genuine and brand new electronics, all items are sourced directly from the manufacturers and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.