Wadau natafta msaada kwa yeyote anayefaham wap hapa Dar naweza pata short courses za Adobe After effects na premiere pro!..Sio lazima iwe ni chuo au taasisi rasmi, hata kama ni mtu binafsi hamna...
i factory unlock all kinds of iphones (3, 3gs, 4, 4s & 5at&t),
unlocking prices differ depending on carrier and country the iPhone is locked to...
the process is done remotely, all i need is the...
Habari zenu wakuu,
Nahitaji kuchapa na kukiuza kitabu changu katika hard copy ila sina pesa. Ningependa kujuzwa ni kampuni gani nzuri inaweza kufanya kazi hiyo na malipo tugawane toka katika...
NI SOFTWARE YA KIZUSHI TU IME EDITIWA KWENYE VISUAL BASIC NAONA WATU WENGI MLIFIKIRI INAPIGA MZIGO NA MMENIPM GUYS ITS JUST A PRANK POLENI KWA KUWARUSHA ROHO JUU
VIDEO HII HAPA CHAKACHUA VOCHA...
Wakuu habari za kazi,
naombeni msaada nitumie program gani kurudisha program pamoja na music kwenye memory card yangu,ambayo jana niliitoa kwenye simu na kuiweka kwenye card reader ili niichomoe...
Wadau ninahitaji kunnua mashine ya kufanya copy used kwaajili ya biashara katika pitapita zangu nimekuta mashine aina ya mashuatec 1805 imetumika kwa mwaka mmoja na nusu haina tatizo aliyekuwa...
HINT: Sio smart TV built in eye scroller, ama ati inistukie nikiwa nimesinzia ijizime, la hasha.
Ni Tatung, chogo 21". imeanza huu mchezo ina kama wiki ya 4 sasa. Inapokuwa on, inaweza kujizima...
Voice Changer Software Diamond 6.0 is the most advanced version of the Voice Changer Software series. The utility offers you the ability to add narrations, perform dubbing tasks for audio or video...
Designed to understand the way we live.
hii kitu nimeikuta katikati, lakini ni noma kwakweli.
features kama dual camera call, smart pause/play na kadha wa kadha.
fuatilia hapa kinachoendela...
khabari zenu wana jamii. Kwa muda wa siku 2 sasa napata error code 130:3 kwenye AE CS4..... ningependa kusaidiwa jinsi ya kuhandle hili tatizo. Nimegoogle na inaonekana tatizo inaweza kuwa ni fake...
nina samsung galaxy pocket inayo nisumbua nikiitumia baada ya nuda huwa inaniletea blank page na kuandika. "" : User
Fault Not Kernel Panic
Upload Mode""na nikihold kuwasha baada ya sekunde kama...
Wakuu na wadau wa mawasiliano hii kitu imeniumiza sana. Nimenunua bando (MB) nyingi toka airtel nikitarajia kutumia bando hizo muda wa mwezi mmoja lakini cha ajabu na cha kushangaza nikatumiwa sms...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.