Kwa sasa hivi natumia nokia asha 200 ni nzuri maana ni orijino halafu double line! Ila nataka kuibadilisha!
Je ninunue simu ipi ambayo ni orijino but double line other than Nokia asha 200?
NB...
Teknolojia mbili zinazotabiriwa kubadili ulimwengu ni nanotechnology na Uchapishaji wa 3D (3D Printing). Makala hii itazungumzia uchapishaji wa 3D. Wakati baadhi wa watabiri wamehusisha mapinduzi...
Waungwana,
Naomba msaada.
Nimeupdate iphone yangu, 3Gs,ikakubali. Sasa kila nikijaribu kuactivate napata haya maneno kuwa 'Your iphone could not be activated because the activation server is...
Wana JF Poleni na majukumu mbali mbali ya kujuzana mambo muhimu. Niende moja kwa moja kwenye ombi langu, nataka ku-copy picha yoyote toka yutube kwenda katika FLASH je nifanyeje? Naomba msaada...
Wadau heshima kwenu, naomba msaada, mwaka jana mwanzoni nilikuwa napata channel za South africa SABC1,2,3 & eTV local for free, baadaye nikawa sizipati tena, kuna fundi alikuja akasema nifunge...
Wadau nahitaji mashine nzuri used ya photocopy kwaajili ya biashara je ni wapi kwa hapa dar naweza kupata? na ni aina gani ya mashine ambayo ni nzuri kwaajili ya biashara?
Jamani nimetengeneza Database yenye Tables kadhaa lakini nimekuwa nikiishia kwenye command hizi tuu kujifurahisha
use mydatabase;
show database;
select *from table1;
na nyinginezo lakini...
Uhakika hii si S3 wala sio Note i wala sio Note 2, Hii ni simu gani?
Uhakika huu unatokana na mahala ilipo flashi ya kamera ya nyuma
http://youtu.be/gfzom-RdrwI
Sisi katika Gajetek siasa si mchezo wetu, sisi na gajeti na gajeti na sisi. Lakini leo katika kucheza na gajeti zeetu tukaamua kufanya maongezi na wasaidizi wetu wa virtual wawili kuona kama...
Chanzo: Gajetek - Gajet na Teknolojia
Twitter: @gajetek
Baina ya miaka kumi na kumi na tano nyuma simu nzuri ilikuwa ni ile isiyojaa kwenye kiganja, yaani ndogo mno. Ukiwa na simu kubwa...
12/03/2013
Dijit: App itakayobadili iPhone Yako
Dijit si app mpya kwenye AppStore lakini ni app ambayo itaifanya iPhone, iPad au iPod Touch yako iwe ni zaidi ya simu. Dijit ni app ya rimoti...
Waungwana nahitaji kuwa programmer si kwa minajili ya kuajiliwa hapana kwan mm ni mwajiliwa pale MMP ila napenda tu huo ujuz.
Nawezaje kuwa hvyo pasipo kupitia chuo? Kama kuna mtu anaweza kunipa...
kuna tofauti gani kati ya hizi version! Window 8 RTM (release to manufacture) na hii final retail version kwa wale walio experience hii vitu? Coz forum nyingi nilizopitia wanasema ni the same but...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.