Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Hy jamani nilikua naomba mnisaidie software yaku design website bila ya ku2mia HTML code.so ambayo inaji code yenyewe.nakabizi kwenu
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wana jf, naomba msaada wenu nataka kutengeneza kakitabu kadogo ambako katatumia karatasi za a5 nitumie program gani na kwa vipi naomba ufafanuzi ingalau kidogo.
0 Reactions
5 Replies
728 Views
Wakuu najaribu kuunganisha line zangu hapa nifaidi ofa ya wajanja night ila zote zinakataa zinasema nimeshajiunga..nikijaribu kujiondoa ili nijiunge tena pia inagoma..nikiconnect wanafyeka hela...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
wadau, nna mpango wa kuuza vits yangu na kununua hii gari nimetokea kuipenda. ningependa kujua prons na cons za hii kitu especially fuel consuption na maintenance cost.nimehamishwa, siko dar...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
msaada wenu tafadhali, tablet yangu ni os ya android 4.0.3 ics, haina sehem ya sim card, nkiwa kwenye wireles inakubali vzuri ila nkiwa sehem ambayo haina wireless kila nkichomeka modem haikubali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
guys nimekutana na iso file moja kwa location mbili tofauti! location ya kwanza ina 1.9GB na location ya pili ina 2.5GB! Inawezekana ku compress iso? coz mawazo yangu nafikiri hii ya kwanza...
0 Reactions
7 Replies
979 Views
Habari Kwa wale wataalamu wa software za "photo manipulation" kama GIMP,photoshop tuwe makini unapo edit kitu kwa ajili ya kutaka kumchafua mtu. kinachosababisha ni mtu kuwa na haraka na kusahau...
0 Reactions
0 Replies
788 Views
naombeeni kujua ni window gani itanifaa katia pc yangu ya toshiba? Ni kwa matumizi ya chuo tu kama kutumia internet na mambo mengine? vipi kuhusu ubuntu ukilinganisha na windows nyingine?
0 Reactions
11 Replies
3K Views
nilikuwa naomb kujua chanel za movie na sport katik vingamuz vya continental na DiGTEK
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ninahitaji Lenovo Adapter ya 20v.. iwe na kati ya 6.75A na 8.5A(specification from my fundi).. Mwenye nayo tafadhali ila price isiwe ya kukomoana..
0 Reactions
2 Replies
843 Views
China has opened the world's longest high speed train line. It runs nearly 1500 miles from Beijing in the north to Guangzhou in the south and reduces journey time from 22 hours to just 8 hours.
0 Reactions
24 Replies
2K Views
guys ni siku ya tatu now kila nikijiunga na wajanja 9t naambiwa nimeshajiunga na hii huduma nikifanya mambo mpunga unakatwa. inakuaje hii kitu kwa wale wazoefu na hii offer?
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Kuna mtu niliwahi kumuona kapost kwamba anafunga dish. Tafadhali kama bado upo humu naomba unipe muongozo, gharama na channel ambazo nawezqa kuzipata. Au kama kuna ambaye anatumia naomba unipe...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Amani kwenu.Nina simu nimenunua nokia 201.Naomba nielekezwe formuler ya kujiunga ktk mtandao wa Tigo na Voda tafadhali
0 Reactions
0 Replies
604 Views
Katika Games addictive, Simple na nzuri ambazo huitaji kudownload (just play online).. hizi ni baadhi:- (First Person Shooter) The Last Stand Play The Last Stand 2, a free online game on...
1 Reactions
0 Replies
834 Views
Kuna mwenye ujanja wakuifanya modem ya tigo ku accses 4g halafu na kuna anaejua kuifanya modem yangu ya tigo itumie internet free kwa maujanja
0 Reactions
2 Replies
576 Views
Wadau nina flash aina ya AGFA photo 4GB ilikua inasoma vzr kwenye PC yangu ghafla haisomi tena ila nikiichomeka inaniambia 'ur device iz ready for use' lakini haionekani kwenye my computer! Msaada...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimedownload hi game ina kama gb 3.5 nimeinstal hadi mwisho ila nikitaka kuplay naambiwa "plz insert correct CD-ROM ". Tatzo cjui nini
0 Reactions
3 Replies
882 Views
Naomba mniambie software gani ina uwezo wakudownload program hata kama umeme utakatika basi ukijawasha baadae iweze kuendelea
0 Reactions
3 Replies
772 Views
Back
Top Bottom