Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Waju,I wa tech simba mnisaidie maana Mimi napenda kupiga picha sasa Muzingatie nini apo maana naona nacha ganyikiwa juu ya utofauti wa ubora na sijajua inatokana Na idara ipi apo Kati ya software...
1 Reactions
9 Replies
697 Views
Salaam, Naipenda sana termux kwakua kwanza ni user friendly halafu pia unaweza kuitumia hata kwenye non-rooted devices. Pia commands zake ni kama tu Linux. Je, unatumia tools gani kwenye...
6 Reactions
42 Replies
8K Views
Habari Wanajamvi baada ya kukaa na kufikiria nilipitia nyuzi nyingi zinazo husiana na web development ila sikupata nilicho hitaji. Kwenye huu uzi nitafundisha HTML, CSS na JAVASCRIPT kwa lugha...
5 Reactions
41 Replies
4K Views
Tunahitaji kituo kidogo mwezini ambacho kitakachotusaidia au kuwasaidia wanaanga katika mission mbalimbali za mwezini ambapo pia kituo hicho kitakuwa kikipokea wageni mbalimbali wenye lengo la...
2 Reactions
1 Replies
403 Views
SEHEMU YA KWANZA: MAHITAJI(TOOLS) YA KUWEZA KUFANIKISHA UUNDWAJI WA ANDROID APPS Kuna programu kadhaa ambazo zinahitajika ili kuweza kuunda hizi apps, programu hizo ni kama zifuatazo: 1. kompyuta...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Salaam JF Tech, Kama kichwa cha habari hapo juu kilivyo, simu yangu ya Samasung inakataa kutafuta au kunasa Wi-Fi. Simu zingine zinakubali. Tatizo nini? Msaada.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wakuu natafuta mtaalamu wa kucheza na cctv camera aweze kunisaidia kurudisha picha kwenye simu yangu imekuwa disconnected hivyo siwez ku log in nimesahau password na username.nipo tayar kutoa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Apple inalazimika kuruhusu watumiaji wa iPhone kuwa na uwezo wa kuweka app bila kutumia App Store ya Apple. Mabadiliko haya yatawezesha watumiaji wa iPhone ku-install app yoyote nje ya App Store...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu, Kama mjuavyo flash drive ya kwanzia gb 64 + 1 TB uki format kwa fat32 hua inapoteza uwezo wake wa kubeba vitu vingi na badala yake itahifadhi vitu mwisho gb 32 tu. Naomba...
0 Reactions
5 Replies
651 Views
Tafadhali wadau naombeni msaada wenu wa haraka. Nimenunua smart kitochi 4G ofisi z tigo ila baada ya kuweka line imeniambia niingize NCK CODE kwenye SIM 1na SIM 2, nauliza code hizo ni zipi?
0 Reactions
34 Replies
16K Views
Kwanza natanguliza shukran zangu kwa wadau wote wa jf na hasa hili jukwaa.Siku zote nilikuwa ni msomaji mzuri wa forum hii ilinivutia mpaka na mim nikaamua nitumbukie mzimamzima.Wakuu mim...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa anajua kuusu simu za vivo atupe mwanga kidogo nasikia ni simu nzuri kwa sasa ukiachana na samsung na iphone. Asante na wasilisha. Cc chief Mkwawa
2 Reactions
144 Replies
12K Views
Hellow mambo vipi, Kama ilivyo ada ya urafiki kwa Watanzania. Kwa ujuzi wangu kiasi nilionao na dhati kabisa ya moyo wangu ,nimeamua kuanzisha uzi hu Kwako kijana mwenzangu unaependa kujua kusuka...
19 Reactions
152 Replies
24K Views
Abdul mobile payment plugin, hii haijawahi tokea. kwanza kama umeshawahi kujiuliza ikiwa kuna uwezekano wa mtanzania kutengeneza wordpress plugin, yenye kiwango cha hali ya juu kama hii ya kufanya...
6 Reactions
28 Replies
5K Views
Habari wakuu? Poleni na majukumu na mihangaiko ya siku ya leo.. Niende kwenye mada. Hapa maskani kuna fridge guard lakini muda mwingi inazima na kuonyesha taa nyekundu inaweza kuwaka na kuzima...
0 Reactions
1 Replies
739 Views
Wakuu habari zenu naomba msaada wa namna ya kuondoa hii divert kwenye simu yangu niliiweka mwenyewe nimeshindwa kuitoa. Sasa imekuwa kero kwa wateja wangu na watu wangu wa karibu kila wakipiga...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Imeelezwa kuwa shambulizi hilo limeathiri miundombinu ya digitali na mifumo yake kiasi cha kusababisha wafanyakazi kutakiwa kufanyia kazi nyumba. Tovuti na mitandao yao ya kijamii haijaathiriwa...
0 Reactions
1 Replies
572 Views
Habari zenu ndugu wanajukwaa,ninatumia Smart TV aina ya Toshiba fire TV edition inayo run OS ya Amazon changamoto ni kuwa nimepoteza remote yake nimetafuta bila mafanikio.naomba kwa yeyote...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zanu wakuu, kwa wenye uzoefu wa kuagiza bidha kupitia Aliexpress. nahitaji kuagiza bidha kwa mara ya kwanza, Je nitapokea mzigo kwa njia gani? Je mzigo utafika bila shida yoyote? Kama kuna...
5 Reactions
74 Replies
7K Views
Back
Top Bottom