Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Msaada hii kitu nimetokea kuikubali saana so kwa hapa Tz hizi zinapatikana au mbele mbele saana[emoji55]
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nataka nitengeneze blog kupitia Wordpress but sina ujuzi wowote. Naomba unisaidie kama unaweza.
0 Reactions
6 Replies
692 Views
Habari zenu, Jamani mimi ningependa kuuliza tu. Hivi wanaposema account zimedukuliwa na data za watumiaji zimeuzwa. Wanamaanisha nini? Data gani? Wanauza wapi? Wanaowauzia wanazitumia vipi...
4 Reactions
5 Replies
789 Views
Wakuu, Naomba kwa mwenye uelewa wa jinsi ya kuskip ule ujumbe wa "device verification" kwenye game la euro truck simulator 2 kwenye simu
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hàbar ndg zangu Kama kichwa Cha hàbar kinavyo jieleza kijana mwezenu nipo mbele yenu nishida kidogo naitaji msaada kuhusu blog pamoja na mshirika wake Google AdSense kiupi kabla sijaanza jieleza...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
INTERNET. Starlink is now delivering initial beta service both domestically and internationally, and will continue expansion to near global coverage of the populated world in 2021. During beta...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wana jamiiforums naomba msaada wenu kuhusu Decoder ya Azam TV kila nikiiwasha haiwaki hadi mwisho na badala yake inaamdika neno Boot na kuishia hapo! Tatizo hili linasababishwa na nini...
2 Reactions
1 Replies
929 Views
Inaandika "Check operator services." Nifanyeje ili ikubali?
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakuu mambo vipi. Nipo Dar, Kuna Speakers (Passive Speakers) naziagiza kutoka Amazon, so nahitaji kuzitest zitakapofika na ili kufanya hivyo ninahitaji Amplifier. Amp ni kwa ajili tu ya kutest...
0 Reactions
3 Replies
344 Views
Ni nini hufanyika wakati kifaa chako kimeibiwa? Je! Unawezaje kumzuia mtu mwingine asiitumie? Shukrani zote kwa Google, ambaye ametoa simu zetu za android huduma inayoitwa factory reset protection...
8 Reactions
11 Replies
9K Views
Kwa kawaida, toleo la simu za Galaxy A ambazo zinauza sana ni A5x. Lakini ripoti mpya zinaonyesha Galaxy A series zitaacha kuwa na toleo la A7x hivyo Galaxy A73 ndio simu ya mwisho kuwa na A7x...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Haya ni baadhi ya mabadiliko ambayo yamewekwa katika App ya WhatsApp kwa mwaka 2022. Ni features zipi ambazo umezipenda zaidi?
1 Reactions
0 Replies
437 Views
Habar za humu watu wa Mungu. Aulizae hapotei! Nahitaji taarifa za kiteknolojia kuhusu speaker kubwa ya bass kuunga nguvu na vifaa vingine nikivyonavyo kwa mziki wa ukumbi. Mziki mkubwa...
0 Reactions
4 Replies
727 Views
Wakuu naomba kujulishwa kama kuna uwezekano wa kutumia kifaa cha kurecodia matukio ya kwenye gari kama security ya nyumbani. Je inawezekana kutumia king'amuzi pamoja na camera zake toka kwenye...
0 Reactions
0 Replies
341 Views
Kwa yeyote mwenye motherboard ya hp elite book 840 g1 naomba anifate inbox tuongee biashara maana yangu imekufa graphic card
0 Reactions
10 Replies
637 Views
Kama heading inavyojieleza nimechukua tv flat screen aina ya star X 32 inches few monthes ago ni mpya full box na haina shda yeyote mpaka sasa Shda iliyokuja kujitokeza n kwamba juzi kati apa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Samahani waugwana Ili niweze kutumia tv nch 32 vizuri inanibidi nitafute betri ukubwa gani yaani N ngapi ?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa. Naomba msaada wenu ktk hili kwa wale wataalam wa mambo ya computer kwenye software. Nime download window 10 pro nikaiweka kwa flash nikainstall kwa computer lkn baada ya...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu rejea kichwa hapo juu ...nataka kufahamishwa namna ambayo Facebook advertising inavyolipa pesa ..mana kuna baadhi ya Friends wamekuwa wakinambia kuwa inalipa na wanatengeneza dollar hata 30...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mambo vipi wadau, jumamos nilikua na ki event hapa home basi kuna jamaa angu ana HT ya sony akaileta ili isaidie kwa masuala ya mziki. Hii sony ina spika ndefu 2 na zingine fupi 3 tukatandaza...
20 Reactions
704 Replies
70K Views
Back
Top Bottom