Habar wataalam!
Nimejaribu kufungua akaunti ya twitter na ikifika sehemu ya kuweka kodi nayotumiwa kwa sms au email inagomea hapo hapo. Naomba msaada wap nakwama?
Beijing!
Bonjour wakuu, PC yangu inakula sana data kwa vitu visivyoeleweka.
Nimeweka connection kuwa metered
Nimestop background applications
Nimestop google updates (ilikuwa ishakula mb95)...
Habari Ndugu wataalamu naomba kujua natak nipost ads ktk social media za fb na insta sasa nimeona Kuna kisanduku Cha kuchagua kwenye insta pia. Sasa nilikua nataka kujua nikichagua fb na insta...
Mwenye kujua
Kipi na kipi ni muhimu na kazi yake tafadhali..
Nimeona nachezea fursa, nimetengenzeza simu 4 locally ambazo zote nilishaambiwa nibadili vioo nyingne imekufa body.
Leo nimefungua...
Fahamu sifa ya Infinix NOTE 12 VIP
Kampuni ya Infinix imetoa toleo jipya la simu kwa mara ya kwanza yenye watts 120 !! tarehe 16 may 2022 , kampuni ya Infinix ilizindua matoleo matatu ya mfululizo...
Habari wakuu, nina samsung A02 kwasasa ina mwaka 1 na miezi 4 toka niinunue dukan, na ilikuwa na warrant ya miaka 2 ila warrant card nimeipoteza
Sasa hii simu hivi sasa ni week kila nikiitumia...
Wakuu kwema?
Kwavile fiber bado ni changamoto maeneo ya Makongo Juu naomba ushauri wenu kuhusu kampuni bora ya unlimited home Internet.
Matumizi yangu ni:
Home office (working from home) nina...
Hello wadau habari zenu,nikiwa mdau na mnazi wa kampuni ndogo ndogo zinazochipukia,Nimetumia bidhaa mbili tatu ,ikiwemo charger na pia hizi Bluetooth speaker 🔊 ,nimejikuta naipenda na bei zao...
Waandishi wa Habari wa #NewYorkTimes, #CNN na #WashingtonPost ni kati ya waliofungiwa akaunti zao na mtandao huo kwa madai ya kuonesha #TaarifaBinafsi za watumiaji ikiwemo Anwani za Makazi...
Ni muda Sana nimecheza Hilo game nakumbuka ilikuwa ps 2 hiv kwenye simu naweza pata offline mode hata kama ni cranked lakin sio kwenye mfumo ISO zile game za psp simulation
Wajuzi wa hizi mambo...
Kampuni hiyo inayomiliki mtandao wa Facebook wanadaiwa kuwa majukwaa yao yalichangia kuongeza chuki na vurugu wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Abrham Meareg, mtoto wa mwanazuoni aliyeuawa...
Januari 9, 2007 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Apple, Steve Jobs alitangaza kuzinduliwa kwa simu ya iPhone, simu iliyokuwa na iPod, kamera na uwezo wa kutumia intaneti, kati ya vingine vingi. Tangu...
Wakongwe habari zenu natumaini mko salama kabisa, na jumapili yenu inakwenda vizuri
Mimi swali langu ni hili ninataka kufungua kampuni ya ICT ijikite kwenye Software Development, ila sasa kama...
Wadau msaada unahitajika, kuna web fulani nikiingia inakuja msg yenye ujumbe unaosema you have not unlocked your ad blocker, you will be disconnected in 5 seconds. Naambatanisha picha. Jee...
Kampuni ya Microsoft imetangaza leo mipango ya kuleta huduma za intaneti kupitia satelaiti kwa watu milioni 10, nusu yao wakiwa barani Afrika, kama sehemu ya juhudi za kuziba pengo la kidijitali...
Wadau nauliza hivi, nahitaji kuwa natuma sms za matukio ya Kanisa kwa washiriki kama 500 hivi je hii kitu ina gharama zingine tofauti na kifurushi changu cha sms?
Lakini pia nataka nikituma sms...
Wakuu mambo vipi nina shida kidogo na mtu ambaye yupo vizuri kwenye maswala ya cyber security na pia ana uzoefu kidogo nataka tulizungmzie anisaidie kiasi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.