Wakuu habari zenu....
NATAKA KUULIZA KUHUSU HII BUNDLE YA VODACOM YA 8000/= KWA MWEZI.. JE SPEED YAKE NI SAWA NA HIZI ZINGINE ZA 200 NA 500 KWA SIKU AU INAKUWA TOFAUTI KIDOGO NA ZINGINE...
Heshima zenu wakuu.
Simu yangu imevunjika kioo inanipa tabu sana am looking for anyone who can fix it out there,ni SAMSUNG GALAXY mini GT-S 6500 D original one kama kuna mtu ni fundi out there au...
21.6 Mbps WITH WI-FI
Connect up to 5 devices seamlessly with the Huawei Soft Wi-Fi that lets you transform any laptop with a Wi-Fi adapter into a Wi-Fi hotspot. Install the software and...
Jameni wanajamvi mimi hiki king'amuzi natamani nikitupe! Yaani sauti yake ni mbovu halafu inaumiza mno masikio. Muda mwingine inapanda juu na kushuka chini mpaka ni kero.
Ukiwapigia hao startimes...
habari zenu wana jukwaa
mimi nilijaribu kuinstall hii program ya ku protect flash lkn kwa sasa nataka niitoe lkn nashindwa mwenye maujuzi anisaidie
karibuni
For All developers, your thread is here
Let us hear from no developers, problems in compiling and any help needed.
Also side comments and "praise reports (who does not like it?)"
Welcome and...
Kuna uzi ulianzishwa humu wenye kichwa cha habari"Chadema kumtaja kigogo wa biashara ya ving'amuzi" na mie nikachangia Uzi huo na kuahidi kuwapa uhondo naofaidi kwa kupata channel za kibongo bila...
Salaam, nimeanzisha kampuni bado ni ndogo ila ningependa niwe nahifadhi rekodi kwa njia ya komputa means profoma invoice, tax invoice, receipt pamoja na delivery note. Nahitaji mtaalam wa...
habarini wana jamvi? ninatumia nokia pc suite(ovi), lakini siku za karibuni inakataa kabisa kudetect simu, simu inaandika no response from host(yaan pc), niende sehem gan kufanya settings?, nim...
Habari wana jamvi ni jumatatu nyingine tulivu watu mbalimbali wakiwa katika mihangaiko ya kujitafutia riziki.swali langu wana jamvi je ni kweli mitambo ya analog kuwashwa tena?
Sent from my...
Habari zenu binafsi nna maswali kadhaa kuhusu Free To Air Channels na Dishes:
Hivi tunaposema dish ni FUTI 6 maana yake ni nini? je ni urefu wa stima za kushika hilo dish au ni kipenyo cha dish...
naomba mtaalam anisaidie
nina futi 6, lnb 3.
kU mbili
na Cband 1
mwanzoni zote zilifanyakaz pamoja, sasa nikipandsha ile beam napata ku ya k24 na C ya ITV.
nikishusha kdg napata ile...
habari zenu wote
tatizo langu leo ni kuhusu kuweka chatrooms ktk blog yangu yaan mtu aweze kusign up,ku sign in na kisha kuchati,kuupload picha na kushare na wengne.nadhani nimeeleweka nitafurah...
"Habari njema kutoka Airtel. Nunua kifurushi cha 500MB kwa sh 3500 tu kitakachotumika kwa siku 10. Tuma neno INTERNET kwenda 15444 na furahia kuperuzi"
Ujumbe tajwa hapo juu,tunaomba hata kama...
Kuna mtu humu anaeweza kuniambia Sibuka TV iko vipi ki teknolojia
na inatofautiana vipi na tv kama ITV
na Sibuka TV ikitaka iwe Free to air tv
nchi nzima,wafanyaje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.