Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Heshima mbele wakuu nisaidieni namna ya kurecover mail yangu ya Yahoo mwaka 2009 nili update details sasa kwa bahati mbaya nimesahau nilijaza nn!nisaidieni kama kuna helpdest ya yahoo mail kama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wadau naombeni mnijuze hivi nokia n9 inasupport whatsapp
0 Reactions
6 Replies
837 Views
Habarini wanajamvi. Nina simu Motorola android inamatatizo Kama mawili Hivi, moja nikipokea cm niliyopigiwa, aliyenipigia anasikia inakoroma na kupiga kelele zinazo muumiza mpigaji masikio...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ninatumia Nokia x2-05 simu hii imeanza kunisumbua huwa inaji restore yenyewe na imefuta applacation zote ambazo ziko upande wa simu na zile ambazo ziko upande wa memory card zinakuwa na alama ya ...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nina nokia N95 tatizo lake ikiishiwa chaji, na ukichomeka charger haiingizi moto. Nimetumia charger tofauti ila tatizo lipo kwenywe simu. Nimepeleka kwa mafundi simu wengi wao niwababaishaji. Kwa...
0 Reactions
5 Replies
908 Views
Application ya simu za Android. "Jifunze Kusoma Kiarabu" - https://play.google.com/store/apps/details?id=com.MDS.kiarabu
3 Reactions
2 Replies
2K Views
hellow wanajamvi, Najua wengi wetu tumetumia aina nyingi za simu, ninachotaka kujua ni ipi kati ya hizo ulizowahi kutumia unadhani kwako ndo ilikuwa bora zaidi kuliko zingine hata kama ndo...
0 Reactions
1 Replies
966 Views
Wakuu tafadhalini kichwa kinajieleza. Ninapoweka Alarm wakati simu imewashwa kunakuwa hakuna shida maana inalia. Simu hii ninapoweka Alarm halafu nikaizima muda unapofika hapigi Alarm...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina laki mbili natafuta mini lap top iliyotumika.ni pm
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za Mchana, Naomba msaada wa kuweza kutumia internet ya mtandao wa AIRTEL kwenye simu aina ya Nokia Lumia 510. Nimejaribu kuisomasoma ila sijafanikiwa jinsi ya kujiunga. Nilikuwa natumia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana Jf Mimi ni mtumiaji mzuri wa Airtel Tanzania, Internet na Simu vyote natumia Airtel, Rejea tangazo lao la ukipiga dk 2 za mwanzo baada ya hapo wanakukata sent kumi, kwanza nimepiga simu...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Simu yangu katika siku za karibuni imekuwa na tatizo la betri kuisha haraka bila kuitumia nikaja kugundua kuna program (MUSIC) ina update playlist naombeni msaadajinsi ya ku close nitashukuru...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamvi Naomba Msaada wenu Npo hapa Morogoro mjini laptop yangu inazingua Kiooo hakitoi mwanga na kinatoa Mistari Mistari mara tuu Ninapoiwasha japo inawaka fresh. JE wapi naweza...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Moja ya matatizo ya smartphones ni kutokukaa na charge. Ya kwangu nilikuwa na charge mara mbili kwa siku. Lkn sasa inaweza kukaa na charge kwa zaidi ya saa 24, na mara nyingine kwa saa 48...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau nataka kurestore nokia c3 ila nimesahau password sasa kama kunamdau yeyote anayejua shortcut yakurestore naomba anisaidie
0 Reactions
3 Replies
979 Views
wakuu nilinunua modern nikiwa DODOMA..inafanya kazi vizuri tu...nikienda dar pia mzigo uko sawa..mwanza pia naitumia vizuri..tatizo nikija kwetu KIJIJINI modern haioneshi zile bars za network...
0 Reactions
3 Replies
854 Views
Jamani naombeni mnishauri, laptop yangu toka juzi imekua inasumbua sana, inakua ina load mda mrefu sana na nikifungua mozila firefox inaniambia not responding, nini tatizo jamani?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Miezi miwili sasa napata error message kila niki-browse You Tube. Nimejaribu ku google kutafuta ufumbuzi wa tatizo hili lakini wapi, nimebadirisha flash playera bila mafanikio, nimefuta cookie...
0 Reactions
3 Replies
924 Views
Baada ya Nokia 1100 huenda Nokia 105 ikaja kuwa simu maarufu zaidi hasa kwenye nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania. Hii ni baada ya kampuni hiyo ya simu kuzindua simu hiyo yenye uwezo wa kutunza...
8 Reactions
18 Replies
5K Views
Back
Top Bottom