Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nimejaribu ku-unlock modem yangu ya airtel aina ya ZTE model MF190, nafuata process zote kwa kutumi dc-unlocker 2 client, lakini nikifika hatua ya mwisho inaniambia "no user name" "error code 63"...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana jf naamini tatizo langu litapata ufumbuzi hapa nina gari lenye gearbox auto linanisumbua, halibadili gear zote mwisho ni gia nne tu na ya nne huingia kwenye mtelemko lkn pia nikikanyaga...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu nduguzanguni...!! mi naomba nisaidiwe kitu kimoja tu kwenye hili game (ni PC version)..kila nikicheza ninapo quit na kusave then baadae tena nikija kuwasha tena nakuta resume haikubali...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Salaam wana JF! Naamini kwa wale mlioko TZ, mlisikia tangazo la TCRA kwamba ifikapo tarehe 1 ya mwezi wa 3, 2013, gharama za kupiga simu kati ya mitandao tofauti itapungua sana. TCRA walidai...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nikibonyeza *102# ili kuuliza salio, badala yakuonyesha salio inaendelea kuita as if nimempigia mtu, tafadhari kama ulishakutana na hii kitu nifafanulie nielewe. natumia mtandao wa voda.
0 Reactions
2 Replies
872 Views
My new lady Nokia E7 (ex Finland) which I bought while I was in transit and expected to be a total mobile office doesn't give me joy, none at all. This bloody phone does not charge a battery. I...
0 Reactions
14 Replies
10K Views
Ndugu nilikua na sim aina ya samsung galaxy ,nikaibiwa sim hiyo ,masaa machache tu namba yangu ikawa haipatikani ila nilikuwa nimelog in kwa kutumia facebook katika sim yangu,nadhani mtu huyo...
0 Reactions
2 Replies
947 Views
heshima kwenu wakuu,natumai mu wazima wa afya,mie ninalo flashing box langu la ufs nahitaji kuflashi kwa kutumia usb cable lakini tatizo nimeshindwa kwakuwa sina driver kama kuna yeyote anajua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jamani msaada kuna mdau alipost hapa hiyo kitu sasa imekuwa na shida kwenye kuistall sasa naomba kama kuna aliye kuwa amesave anitupie hapa nami niipakue...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Social networking websites are causing alarming changes in the brains of young users, an eminent scientist has warned. Sites such as Facebook, Twitter and Bebo are said to shorten attention spans...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana JF ninamiliki duka la rejareja na natamani kuliendesha kitaalamu kwa kutumia POS SYSTEM naombeni munipe msaada niipi POS software nzuri na hadware wapi nitapata? ASANTE
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jaman wana jf,pc yangu betri ilianza kuchoka,ikawa haikai na power.Ukizima umeme nayo imezimika,bado cjafanya replacement ya kuweka betri nyingine ila sa hvi ukichomeka 2 umeme inawaka na kujizima...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau,nina simu ya Iphone 4S ilikua inatumika ktk mtandao wa Verizon(U.S.A).Mwenye details za jinsi ya ku unlock anijuze.
0 Reactions
0 Replies
800 Views
The additional features for working with linked tables have been deactivated. To find out why click here. baada ya kuclick nikapata ujumbe huu $cfg['Servers'][$i]['pmadb'] ... not OK [...
0 Reactions
4 Replies
883 Views
habari ndugu wana jamvi Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu,kuna program flani iliwekwa na fundi kwa ajili ya kulinda computer sasa nimeenda kwenye control panel ili niweze kuito imeshindikana...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Hello Friends We are going to share you this trick with which you can browse and download for free using Airtel sim card. For this you need to Download a Software Called Cproxy. You Can Download...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Mnigeria Saheed Adepoju, mwanzilishi na CEO wa kampuni ya Encipher Group anatekeleza ndoto ya kuinyanyua Afrika katika Teknolojia kwa kuzalisha kompyuta aina ya tablet, tablet hiyo si miongoni mwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomba kusaidiwa.STRONG MPEG4 4669XII haipachi biss key wala haisapoti dongle.na pia imegeuka na kuwa MPEG2.nasubiri elimu yenu wandugu
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Habari wanajf! natumia laptop ya toshiba os windows 7 kila nikiiconnect modem inawaka kama dk 5 hivi then inaniambia window has encountered critical problem and will restart in one minute hivyo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
KATIKA PITA PITA ZANGU LEO NIMEKUTANA NA HII SITE, KUWA KILA UNAVYOZIDI KUWAALIKA WATU WAJIUNGE NA HIYO SITE UNA EARN DOLA MOJA NA MALIPO YANAFANYIKA KILA MWEZI KUPITIA WESTERN UNION...SIJAJUA...
0 Reactions
3 Replies
863 Views
Back
Top Bottom