Habari waungwana wa Jf,
Naomba kusaidiwa jinsi ya kuweza kudownload nyimbo ziliko kwenye MUZIKI NET, sio siri kuna nyimbo za makabila mbalimbali ya hapa nchini nazipenda sana ila nimejaribu...
Habari ndugu wana JF jamani nina shida yakuweka landing page kwenye computer za internet cafe yangu, yaani ili mteja aweze kutumia internet lazima anunue kama vocha hivi ina username na password...
Connectify Dispatch v4.2 is here. This new Dispatch release adds features and improvements while fixing several bugs from the v4.1 release:
User Interface Improvements: Better use of vertical...
kumbe vile vitisho vilikuwa vya kitoto
mimi na masimu yangu matatu ya kichina bado yanapiga kazi kama kawaida
vile vitisho vyote havina lolote,nchi hii hata siku moja jambo kama hilo haliwezi...
Heshima wakuu.
Ni kwamba mwaka jana wakati na install Kaspersky Internet Security (KIS) 2012 niliweka password Parental Control sasa nataka kuinstall KIS 2013, in the process of installation...
Kila nikitaka kuingia katika forum mbalimbali ambazo zina spam filter hii public IP ya voda inakuwa blocked.
Mfano wa message ni huu:
Error 403: Forbidden
If you get this page trying to login...
wakati leo nokia wakitangaza mapato yao na kuonyesha comeback ya nguvu pia wametangaza habari za kuhuzunisha sana kwamba nokia 808 ndio simu ya mwisho ya symbian na kuanzia leo symbian is dead...
Nimejaribu kuidownload ile software ya kukonect mitando mingi kwa pc aloweka ethemiza imekubali kudownload ila tatizo ni imekuja kama fail fulan then nkifungua inaeleta mandish yasiosomeka sasa...
heshima kwenu wakuu.
simu yangu imeanza kushindwa kufungua operamini na ucbrowser inaandika failed to connect to internet mwanzo ilikuwa inaconect kama kawaida. natumia samsung GT-3300i samsung...
Coming Soon! www.bid2buy.co.tz is a Tanzania's leading penny auction website where brand new and used electronics, jewellery, watches and accessories fall under the auction hammer everyday and...
Wakuu ninafanya biashara ya kuuza madini na ningependa kutengeneza website ambayo itakuwa kama marketing tool locally and internationally.
Msaada wenu wakuu juu ya gharama na jinsi ya kufungua...
Natumia samsung chat duos ila inagoma kudown load operamin,
pia inagoma ku download games,
naomba mautundu ili niondoe tatizo hili..natanguliza shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.