Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Hi guys, mi ninataka kununua digital camera, ila sijui ninunue ipi, au ni ipi nzuri kati ya samsung(16 megapixel) au sony (14 megapixel). Naombeni ushauri wa ni ipi nzuri zaid, na maana ya hizo...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu nauliza ninawezaje kuingiza vitu kama music, picha, na nyaraka nyingine kwenye i pad. Je kwa kutumia i pad naweza ku type an ms word document ?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau wenye cobla tuongee biziness nataka kununua driver yangu cobra 2010 by muhamed ally imearibika so nahitaji kama unayo au mtu anielekeze zinapouzwa nitashukuru npo dar wakuu
0 Reactions
0 Replies
645 Views
Habari zenu wakubwa, Nina maswali machache kuhusu hizi mashine za TRA (ELECTRONIC FISCAL DEVICES) kwa upande wa software development pale ninapohitaji kufanya integration na accounting software ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu kama kuna mtu ana njia ya kunisaidia kuinstall call function kwenye hii kitu. Nasikia siku hizi inawezekana. Mwenye maujuzi tafadhali. Sent from my GT-P7500 using Tapatalk 2
0 Reactions
0 Replies
980 Views
baad ya kutoa simu za xolo india intel wameendelea kutoa simu zinazoitwa yolo kwa ajili ya africa. specification hawajazitaja sana ila wamesema processor 1.2ghz screen 3.5 inch yenye...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Specifications BlackBerry 10 OS. HSPA+ / UMTS (850, 900, 1700, 1900, 2100 MHz); GSM/GPRS (850, 900, 1800 MHz); LTE Bands 2, 4, 5, 13, 17 (700, 850, 1700, 1900 MHz). Dual-core 1.5 GHz TI OMAP 4470...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wanaJF? Mimi ni mgeni hapa JF. 01. NINAOMBA KUELEKEZWA JINSI YA KUWEKA PICHA HAPA JF. 02. Na JINSI YA KUUNGANISHA LINK JF na mitandao mingine. 03. Pia JINSI YA KUNGANISHA Thread...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
naitaji sana hi software plz sio ya kununua,,ni msaada tu..na anaye jua ku configer hasa katika Linux itakuwa poa my no.. 0716512719 dsm nipo
0 Reactions
0 Replies
960 Views
Wakuu naomba msaada nina simu yangu ya lg nataka kuiunganisha kwenye whatsup ila nimeshindwa. Naombeni msaaada
0 Reactions
6 Replies
2K Views
NTSB tosses the BlackBerry in favor of the iPhone Another U.S. government agency decides to drop RIM's beleaguered device because it has been "failing both at inopportune times and at an...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
samsung galaxy s3 au galaxy note 2 ni kati ya simu zinazosifiwa sana kua ni advance na hata bei zake ziko juu, check tips zifuatazo zinaweza kukusaidia kuokoa gharama kwa kununua simu mbadala...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Msaada jinsi ya kuroot motorola xt 550
0 Reactions
0 Replies
635 Views
ndugu naombeni msaada wenu...nimedondosha iphone yangu na kioo kimealibika hiv kwel kwa hapa tanzania nitapata wap display.....na kwa anayejua bei anitajia....hii serious jaman nashida
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za kazi ndugu wana JF. Naombeni mnisaidie jinsi ya ku-activate key za Window 8, nimetoka kuiweka sasa hivi kwenye Pc Yangu ila katoka Desktop kuna maandishi " Window 8 Release Preview Built...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
jama kuna thread ilikuwepo jinsi ya kudivert call anayepiga unakuwa haupatikani ila msg inakutaarifu kwa voda mie nimepotezaana na hii huduma msaada wenu pls!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nina wasiwasi sana wa kampuni ya startimes kufungwa kama wasipojaribu kuendana na ushindani, kwani imekuwa kero sana kwa station zao kukatakata, mimi binafsi nachukia kuangalia tv nyumbani kwangu...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Plz help wadau nimekwama maana kila nikijaribu nashindwa
0 Reactions
5 Replies
839 Views
Heshima mbele wadau, Nimetumiwa Android Tablet PC (IntensoTab) from German lakini siona kama ina SIM Card Slot ya kuwekea line ya mtandao wowote wa simu, je nifanyaje ili ku'connect na Internet...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ndugu nimepiga window 7 ultimate min hp compaq 2710p but driver 1 ya pci na network driver imegoma nimetumia window cobra 2010 bado inakataa nikaweka driver update sasa inahitaji licence...
0 Reactions
0 Replies
843 Views
Back
Top Bottom