Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
vingamuzi vya startimes na ting vinachakachulika jamani msaada
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Habari wanajamii, naomba kuuliza mahali napoweza kujifunza SAP accounting software kwa Dar es salaam,nataka kujifunza pamoja na kufanya mitihani yake ili niweze kupata Cheti chake
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naombeni kwa anaejua jinsi ya kuchakachua wireless ya mtu niweze kutumia internet yake.
0 Reactions
5 Replies
5K Views
hey guys naitaji msaada wa ku download whatsapp without payn kwenye iphone..kuna m2 kaniambia mpaka u jailbreak cjui chochote kuhusu hii k2 need yo help...i need 2 install this whatsapp...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hello Jamii! Naomba msaada kwa yeyote ajuaye free software itakayoniwezesha kusoma mafile ya pdf kwenye blackberry
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba msaada wa ku chakachua MODEM model;E153u-2
0 Reactions
2 Replies
928 Views
wakuu mambo vipi? naitaji time watcher kwa ajili ya computer kwenye internet cafe yangu........ nimejaribu kutafuta google but sijapata.. any msaada plsaa
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari za kwenu wanaJF, Nimekuwa nikiwaza kuhusu swala la kusoma CCNA kwakuwa ningependa niwe nakaujuzi kwenye mambo ya networking. Sasa mwanzoni nilijua CCNA ni course moja ambayo unaisoma kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wanaJF, Ninatafuta vyuo katika nchi zilizoendelea kama UK,USA,Canada,New Zealand na zinginezo ili niweze kupata nafasi ya kusoma masters katika mambo yahusuyo IT. Nimejaribu kufanya...
0 Reactions
2 Replies
972 Views
wakuu kwa wale wajanja wanaotumia na wenye uzoefu na os za linux basi wanisaidie kutengeneza partition ya primary hard disk ,,tayari nishaweka window.series nayo tumia ya linux ni ZORIN OS...
0 Reactions
1 Replies
875 Views
Wadau, nani anafahamu namna ya ku-unlock huawei ideos? Unaweza kunisaidia?
0 Reactions
5 Replies
349 Views
hivi jamani hizi bluetooth za kudownload zinaweza kufanya kazi kwenye pc?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natanguliza shukurani nina hitaji battery mpya ya laptop aina TOSHIBA PRO L 300,(Toshiba primary 6-cell li-ion battery pack.PA3534U-1BRS).Kwa anayefahamu zinapatikana wapi na kwa bei gani hapa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nimenunua king'amuzi cha star times, kwa mara ya kwanza nilinunua bundle ya 23000 nikawa naangalia kaeibia station zote. baada ya kuisha muda wake nikaamua kununua cha 9000 nikiwa na matumaini ya...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
wakuu nawasalim...!! Mimi nina Sumsang Galaxy Young GT-S6102 kwa mda mrefu ila tatizo nnalolpata ni uwezo wake mdogo wa kuhandle kuandka sms ya maneno meng;yangu inaishia maneno 457 tu ikzidi...
0 Reactions
0 Replies
795 Views
Msaada kwa anayejua
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wakuu mambo vipi? nina cafe ina pc 5 zote zinatumia windows 7 23bit sasa hii moja nimeifanya kama server, nimeistall printer sasa ishu ni kwamba kila nikiweka share printer zile pc zingine hazioni...
0 Reactions
0 Replies
829 Views
Dear colleagues, The Internet Society will be accepting applications for the May 2013 round of the Community Grants Programme from 04 March to 01 April 2013, (note that applications will close...
0 Reactions
0 Replies
622 Views
Ndugu zangu naombeni msaada wa kudownload game la fifa soccer la kucheza kwenye computer au laptop. Kama kuna mwenye nalo naomba aliweke hapa tudownload.
0 Reactions
3 Replies
320 Views
Things which were the first in the world
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom