Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
salaam wakuu, nina window 7 nimeisave kwenye pc ninayotumia saivi ni ubuntu natafuta msaada jinsi ya kuibadili nianze kutumia window 7 nifanye nini msaada wakuu natanguliza shukran
0 Reactions
15 Replies
15K Views
facebook na wao wameamua kuingia kwenye game la search engine na kuanzisha huduma yao mpya ya kusearch picha, location ,jobs. Naona huu ni mwendelezo wa vita vya facebook na google maana...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
naomba kufahamu wapi nitazipata simu za samsung y duos na kwa bei gani Natanguliza shukrani
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kila nkijaribu kudownload vitu kama viber na vingne nakwama, msaada nidownload vp?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu zangu naomba mwenye haya maujanja na maujuzi ya block zile Unwanted calls & SMS kwenye simu zangu. Kama kuna specific Codes naomba mnisaidie. Natumia simu aina ya Samsung E222 na TECNO TV70...
0 Reactions
21 Replies
14K Views
Naomba msaada wataalamu. Kabla ya hii kitu TCRA inaita kuzima mitambo ya analogi, nilikuwa na kingamuzi cha startimes kinafanya kazi vizuri. Walipozima mitambo ya analogi na kuwasha ya dijitali...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Enzi ya cable/satelite tv inakaribia kufa kama ina mwaka ndio huohuo. Soma hii: Well, it's called Google Fiber. And it could be just as revolutionary as Google's search engine was when it...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu nashindwa ku install flash player, ni lazima u plagin flash kabla ya ku download, msaada wenu tafadhali. Au nini kinahitajika ukitaka kudownload adobe flash player kwa ajili ya ku play video?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana JF,naombeni msaada kwa mtu aliyewai fanya manunuzi na Ebay upande wa hapa kwetu (Tz) wana charge KODI kwa kutumia vigezo gani?, na jinsi ya kupata mzigo wako inakuaje kuaje hapo...
0 Reactions
0 Replies
948 Views
jamani naombeni mnisaidie categories za system software zinanchanganya hata nikigoogle sipati majibu
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wanajf, jamani hapa nna flash disk ya imation ina software ya kuweka password, nilimuazima mtu atumie akaweka password, na haikumbuki sasa flash imekuwa write protected, haikubali kuweka kitu...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Wapi naweza pata betri ya iphone 3GS nilinunua mbili zote zikavimba hapo hapo baada ya kuzifunga
0 Reactions
0 Replies
767 Views
Wakuu,ni siku ya tatu sasa internet ya tigo inasumbua sana hapa nilipo(Moshi);imekuwa ina-disconnect mara kwa mara.Yaani hazipiti dakika 10 lazima inadisconnect,na hasa kama ninadownload kitu ndio...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nina flashdisk aina ya KingSton ya 8 gb haifunguki kinanapojaribu kuifungua inasema "This Disk is Not Formatted. Do you want to format it?" Uki crick "yes" inaenda kisha inaleta message "Windows...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna madhara yepi yanayo weza jitokeza, endapo uta badili mfumo wa single phase kwenda kwenye three phase hasa katika power generation.
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Moderm yangu ina tatizo la kuji disconect bila sababu za kueleweka.Ki ujumla inaboa coz wakati unatumia net ina ji disconect then baada ya sekunde chache inaji conect tena.
0 Reactions
1 Replies
839 Views
Habari zenu wakuu,nilikua ninauliza kama inawezekana kupunguza memory ya local disc(c) na kuiongezea kwenye local disc(d) yaani kwa mfano memory ya local disc(c) ni 200gb wakati ya local disc(d)...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
natumia samsung shw-m240s imetoka korea. tatizo inautofauti katika text compose yaani kipimo chake ni kwa bite80. na maanisha uwezi andika text ikazidi byt80. je naweza badilisha vipi huu mfumo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Napofungua e meil zangu kwenye simu inaniandiki niingize Out going mail server (enter the IP address or host name of the serve that send your e mail) msaada jamani, ni Ip ipi?
0 Reactions
2 Replies
788 Views
If theres is anybody with a readymade solution which is reasonable and user friend ,please pm me,it is very urgent!
0 Reactions
1 Replies
700 Views
Back
Top Bottom