naomba msaada wa ku install Ram ktk pc yangu...kuna slots 2 lakin nikiweka Ram pande zote pc haiwaki,ila nikitoa moja inafanya kaz!...tatizo ni nin hapo?
Jamani Mimi Ni Mgeni Kwenye Mtandao Kwahio Naombeni Mnifahamishe Mimi Nina account Ya Fb Lakini Tatizo Nilonalo Siwezi Ku Add My Profile Picture Naombeni Mnijuze Kwani Mkinijuza Mimi Mtakuwa...
(...)
When you start your computer, does Windows 7 ask for a password? It should. If not, you need to create a password as soon as possible.
Not having a Windows 7 password is a big security...
Wakuu, nahitaji ssaada wa Security Codes za Nokia C2-03 na 7210. Nafahamu kuwa Security Code ya Nokia N1280 ni 12345 nikadhani kuwa hii ndio kwa simu za Nokia zote kumbe sivyo.
Wapendwa kwenye kurasa zangu za JF nilikuna nasoma habari ghafla maandishi yakawa madogo yaani font imekuwa ni ndogo sasa sijui kuyafanya yarudi katika hali ya kawaida,hapo nyuma kuna jamaa...
Web Development Training in Joomla @ COSTECH Kijitonyama Event in Dar Es Salaam, Tanzania
Come and learn about latest Web Technologies and Web Content Management System (CMS) with Joomla...
Heshima kwenu,
natumia window 7 ila tatizo inagoma ku konect wireless nimejaribu ku trouble shoot problem inanijibu wireless capability is turned off.
naomba msaada plz..
Ninauliza tu kwa nini hii mamlaka ya mawasiliano isiweke shinikizo kwa TV stations za nchini zirushe mtangazo yao kwenye mfumo wa SATELITE mbali ya huo wa ving'amuzi?Hii itasaidia kwa sisi ambao...
simu nyingi za juu ambazo zina specification za ukweli zinauzwa bei kubwa approximation ni millioni moja kwenda juu. mfano wa simu hizo ni kama nokia lumia 920, samsung galaxy s3, htc droid dna na...
HOW TO PERFORM AN 'IN PLACE UPGRADE' / SYSTEM REPAIR
Is your system unable to boot into Windows XP/2000 or even Safe Mode? Whether you get a blue screen or XP/2000 just hangs, then this...
Ni dekoda ambayo unaweza ukatumia sim card na ukawa unaangalia dstv bila kulipia,wewe ni kujiunga kifurushi tu cha mwezi...anaejua vinapopatikana atujuze...kinaitwa hawk ni producct ya china.
Wanabodi najua humu kuna wataalamu wa kila aina. Kuna jamaa yangu anatumia simu ya NOKIA X2-1. Ina uwezo wa kudownload mp3 na video kwenye waptric lkn kama mnavyojua vitu vingi havik kule tu...
Wadau ofisin kwang wireless network ina speed ndogo sana,nmeongea na IT technician mmoja ananiambia kuwa inawezekana compyuta ni nyng kuliko uwezo wa router!....ningependa kujua kama kuna software...
jaman Mm hapa Home nnapata Chanels 9 tuu za home + Mozambique Tvs naombeni tushee frequency za C Banb Nyngnee Kwa Ambao mNazpata..
Pia Ku Haifany kaz Kuna Mda chanels Zlikata waka Mleta fundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.