Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nimeshanganzwa sana na taarifa ya TCRA kupitia ITV leo kwamba eti mitambo ya analojia haitazimwa kwa baadhi ya mikoa ambayo eti hakuna mitambo ya dijital.wametaja mikoa kama kigoma,kagera,tabora...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Wakuu anayejua huu ujanja wa wa SKIP Ad websites to earn money na adfy ashare hapa
0 Reactions
0 Replies
806 Views
Nilinunua king'amuzi (decoder) ya Zuku lakini local channel chache mno sijapenda. Nimenunua receiver nikiunga napata channel za Kenya kwenye dish lao. Naomba mtaalam anieleweshe kama naweza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kipindi Vodacom wameleta haka ka system ka kuona jina la unaemtumia pesa/muda wa maongezi kabla ya kutuma kwa kutumia MPesa nilifurahi manake nilijua ingepunguza matatizo ya kutuma pesa kwa watu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wadau kuna mtu aliwahi kuniambia kuna mtandao wa kitanzania unahusika na kupost kazi za sanaa kama graphics, logos ambapo mtu akipenda kupitia mtandao huo mnaweza fanya biashara au shirikiana...
0 Reactions
1 Replies
734 Views
Ndugu Wananchi, Mtakumbuka kuwa hapo tarehe 23 Februari 2012 tuliwatangazia kupitia vyombo vya habari juu ya usitishwaji wa matangazo ya televisheni kwa kutumia teknolojia ya analojia kwenda...
0 Reactions
1 Replies
987 Views
Wadau, Jana nimemsikiliza Naibu waziri Sayansi na Technolojia, J. Makamba akitoa ufafanuzi juu ya kuzimwa kwa mitambo ya analojia. tofauti na kauli zilizokuwa zikitolewa na TCRA kuwa mitambo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wakuu. Simu yangu aina ya iPhone 3gs inahitaji update ili niweze kufurahia software mpya za apple, shida kila nikijaribu inasema 'there was a problem of downloading the software of the...
0 Reactions
3 Replies
834 Views
Walenga walisema adhabu ya kaburi aijuaye maiti na ukiona aisifiaye mvua ujue imenyea. Misemo hii ni kweli kabisa kwani pilipili iliyo shamba haiwezi kukuwasha wewe mtu uliye mjini. Kuna siku za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi jamani why is it so easy kwa watu kupata print out ya simu hapo Bongo? TCRA wameshindwa kabisa kuyabana makampuni ya simu ya tighten huu upuuzi? Kila siku tunaona story zikiandikwa magazeti...
0 Reactions
2 Replies
775 Views
wakuu nimeona maujanja haya ,kwa hiyo wale wapenz wa kitabu cha nyuso ,,kwa sasa mnaweza kutengeneza chat message zenye langi nzuri chakufanya type maneno kwenye hii web afu bonyeza generate...
1 Reactions
0 Replies
801 Views
PIGA SIMU BURE TUMA SMS BURE TUMIA INTERNET BURE KWA SH 3500 Hii kitu inaukweli wowote?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
napenda kufaham hadi leo hii kwenye ungo wangu wa C BAND positition Hii ya Intelsat nayopata ITv. local chanelz zote zitaingizwa hapa au, hadi sasa ni zipi zinazopatkana humo?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wana wa jukwaa hili..naomba msaada wa haraka kwa yeyote anayejua/kufahamu chuo ama taasisi inayotoa cheti cha uhakika cha SISCO Network....plz nahitaji msaada wenu
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa kifupi mimi sio mtundu wa haya mambo nahitaji msaada wa mtu au sahemu ambayo nitapeleka tablet yangu ili iwe updated.
0 Reactions
2 Replies
732 Views
HTC freestyle imenishinda kabisa kuweka application zaidi ya opera tu...na nikijaribu kufungua hii at&t Application store inaleta error Any idea please.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta mtu/ duka wanaponunua computer mbovu. Nina laptop nauza kama spea. Help wadau. Direction au contacts.
0 Reactions
11 Replies
6K Views
nimeona tigo assubuhi wamentumia message asubuhi kwa shilingi 500 unapata internet unlimited kwa siku 2. Nimeunga nkajaribu kudownload kitu kikubwa imedownload kwa speed nzuri tu. Kwa alie...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
hbr zenyu wakuu.. Nina ki nokia N97 mini na kuna apps fulan zinazokubali kwenye symbian 60 (N73) nikijaribu ingiza zinagoma mfano kama magemu yaliyopo wapking.com (fifa 2009,fifa 2007) yana...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom