Nilikuwa na install whatsapp baada ya kudownload ikanikomand nireboot cm bt after that imekuwa inaanza kuwaka ikifika asilimia flani kabla kumaliza zen iwake inazima zen inaanza upya tena tangu...
Kwanza nitangulia kuomba samahani kwa sababu nina hakika jibu la msaada ninaotaka kuomba hapa lipo tayari mahali ndani humu. Bahati mbaya ni kuwa ka-bundle kangu hakaniruhusu kupekua sana hivyo...
Poleni kwa majukumu ndugu zangu.
Kwa muda sasa nakubwa na changamoto ya kufungua Application kadhaa. Huwa na-download na ku-install (ambazo ni sahihi kulingana na maelezo ya watengenezaji) kama...
wakuu nahitaji mwenye microsoft office 2007 mwenye nayo plzz anisaidie, au kama unalink ninayoweza kudownload naomba unisaidie, nataka niistal katika kidesktop changu.
Tafadhali naomba mwenye...
Wakuu ni kwenye vyuo vipi au taasisi zipi hapa Tanzania wanatumia Weather Research and Forecasting (WRF) model ukiacha Tanzania Meteorological Agency (TMA)?
Kidogo kuhusu hii model, inapart...
Leo asubuhi rafikizangu wa kijijini wameniambia kua Tanzania inaingia vita na Malawi2013 ndiyo maana serikali ina himiza haraka watu waingie kwenye Digital ili wale wenye uwezo mdogo wasijue mambo...
hiyo simu nashindwa kuangalia video online za youtube,nikijaribu kuwatch video inanipa neno unsupported file,naomba kama kuna maujanja yoyote mnisaidie wakuu nipate uondo,tupo wengi wenye hili tatizo
habari wakuu
laptop yangu nashindwa kuitumia kwa raha kutokana na kua ipo slow kiutendaji na hii sijui inasababishwa na nini
kwamfano nikitaka kufungua program, video nk inachukua kuload.
mara...
Naomba msaada wa kuinstall gmail iliniweze kutumia play store kwan nkitaka kuitumia wanadai account ya gmail
Nankitaka kudownload wananipa messeage yakuitaji gmail account
Moderm yangu ya tGO nli ichakachua,nshaitumia zaidi ya miaka miwili,ila jana imegoma haisomi chochote hata kuonyesha kama imewekwa,hv moderm nazo zinakufa!kama kuna mwenye ujuzi anijuze tafadhali
Wakuu nimeibiwa blackberry yangu bold 9780....bahati mbaya mwizi ameswitch of GPS...nimejaribu kutumia blackberry protect website kuitrack inagoma kwa kuwa gps iko off....je kuna namna nyingine...
hellow guys,!! hizi decoda za zuku, startimes na ting zinaningua saana, i want to abando them, can any one tell me!!
dstv wana free channel ngapi?
gharama yao ya kawaida (minimum) ni ipi na ina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.