Habari wanajukwaa,
naomba msaada au kueleweshwa,nilimeuziwa kwa bahati mbaya simu ya galaxy s3 demo unit badala ya mobile phone,inafanya kazi kila kitu kasoro kuwa na slot za chip ambazo...
We are heading the end of the year and its time for evaluation. I would like to share my experience as software developer what I see as the best of this year. I'm not sure how much I'm going to...
Nimekuwa mteja wa star times kwa muda sasa lakini wamechosha na wamekosa ubunifu. wamefikia hata kubadili chanels kwenye vifurushi bila kutoa taarifa. mwenye tetesi au taarifa za king'amuzi cha...
Habar JF,
Nilikuwa naomba kw yeyote mwenye uwezo huu wa kuweza kulogin kwnye pc kama mtu amesahau password au kama pc haikutumika kw muda mrefu na mwenyewe kusahau password.
Page last updated at 15:58 GMT+03:00, Friday, 28 December 2012
China tightens rules on internet
Hundreds of millions of people in China use the internet, although its content is closely...
Kila nkiwasha computer yangu baada tu ya kuDisplay desktop icons napata hii msg
"APC PBE Agent
Failed to start APC PBE agent service.
Time out 90 seconds. Service start operation canceled"...
Wapendwa wana JF,
kutokana na kuongezeka kwa mabandiko yenye vichwa vya habari vibovu (msaada, msaada haraka, kwa anayejua, n.k) nimeonelea kuwe na kampeni maalum.
Mtua akiandika bandiko kama...
et hz ndo worst pasword wanazotumia many userz hasa kwenye mitandao.....
# Password --- Change from 2011
1 password _____________ Unchanged
2 123456 _______________...
nina chip yang ya zantel nimejiunga na huduma ya epiqnation nikajarib kuichomeka kwenye modem ya zantel ambayo imeisha bundle but imegoma kufungua website inaniambia nirecharge msaada wanajamvi
Nimeupdate Application World. Then baada ya Hapo sijaiona tena . Nimeenda kwnye All Applications nikaifuta na Kuinstall upya but Problem ikabaki palepale. Mwenye uelewa na hili plzz naomba...
wakuu nahitaji mwenye microsoft office 2007 mwenye nayo plzz anisaidie, au kama unalink ninayoweza kudownload naomba unisaidie, nataka niistal katika kidesktop changu.
Tafadhali naomba mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.